Jinsi ya kupata Matokeo NECTA kwa SMS

Kasomi

JT Founder
  1. Piga *152*00#
  2. Chagua namba 8.ELIMU
  3. Chagua namba 2.NECTA
  4. Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
  5. Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE
  6. Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019
  7. Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
  8. Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo
 
Good
 
Get results by SMS
Form-Two-Results-20232024-NECTA-Matokeo-Kidato-Cha-Pili-Tanzania-2023.jpg

Piga *152*00#, Kisha chagua namba 8. ELIMU Kisha namba 2.NECTA.
Fuata maelekezo yaliyotolewa ili kupata matokeo yako.

Back
Top