Kasomi
JT Founder
JIHUDUMIE NIDA
Fahamu Namba ya NIDA (NIN)
Bonyeza hapa https://services.nida.go.tz/get_nin kisha
Jaza taarifa zako kwa usahihi ili kufahamu namba yako ya Utambulisho (Namba ya NIDA)
Taarifa za kujaza ni kama
Jina la Kwanza (Firstname)
Jina la Mwisho (Surname)
Tarehe ya Kuzaliwa
Jina la kwanza la Mama
Jina la Mwisho la Mama
Ingiza neno siri utakalo pewa (msimbo wa uthibitisho)
Kisha bonyeza neno tuma.