Mwanafunzi wa CBE aliyejinasibu kuwa yeye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kutapeli akamatwa

Kasomi

JT Founder
Jeshi la Polisi limemkamata, Joseph Mzava (19) mkazi wa Kinondoni Dar es Salaam, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo cha Elimu Ya Biachara (CBE) Tawi la Dar es salaam, kwa tuhuma za kujinasabisha kuwa yeye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na kufanikiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mtandao kwa kutumia laini za simu zenye usajili usio na majina yake.
 
Back
Top