Kasomi
JT Founder
???????????????????????? ???????????????????????????????? ???????????????????? ????????????????
KaaKijanja Sasa hivi google wameleta mfumo mpya (MUSIC LM) mfumo ambao unauwezo wa kubadilisha maandishi kuwa muziki, hii ni pale wasanii wanapohangaika kutafuta producer pale wanapowahitaji.
Je, Ulikuwa unafahamu hili?? / Drop comment yako hapa tuambieee ???? unapenda mfumo wa google au unapenda producer atengeneze beat kuanzia mwanzo mpaka kukamilika kwake ?