Advertise here

Hii ni baadhi ya Michezo ya Google (Google Tricks)

Kasomi

JT Founder
1- cha cha slide
Tafuta “cha-cha slide”au "cha cha slide" na bonyeza ikoni ya spika pembeni juu kulia Google hufanya “dance moves” kwenye skrini kwa kila hatua ya wimbo hivyo endelea kubonyeza kwa kila umbo linalo tokea

2- do a barrel roll au Z or R twice
Ukitafuta neno "Z or R twice" kwenye Google au ukitafta "do a barrel roll", ukurasa wa Google unazunguka kwa mzunguko mmoja kwa nyuzi 360°

3- askew
Ukitafuta neno hili, ukurasa wa Google unakuwa umeegemea pembeni kidogo.

4- 67
Ukitafta namba 67 kwenye Google skirini yako ya Google huanza kucheza cheza
 
Back
Top