Motorola ndio kampuni ya kwanza duniani kuzalisha simu za mkononi

Kasomi

JT Founder
Motorola ndio kampuni ya kwanza duniani kuzalisha simu za mkononi
1739396945188.jpg

Ni tar 3/4/1973 ndio kampuni hiyo ilivyotambulisha simu za mkononi

Team iliyotengeneza simu ya kwanza iliongozwa na Mhandisi Martin Cooper

Je umeshawahi kutumia Motorola??
 
Back
Top