Kasomi JT Founder Feb 19, 2025 #1 Fedha iliyotumika Tanganyika (Germany East Africa) wakati wa utawala wa Mjerumani. Neno hela linalotumika sasa katika Kiswahili limetokana na Heller (Maana yake katika Kijerumani ni sarafu ya thamani ndogo). Pia ilikuwepo 1 Heller na 5 Heller.
Fedha iliyotumika Tanganyika (Germany East Africa) wakati wa utawala wa Mjerumani. Neno hela linalotumika sasa katika Kiswahili limetokana na Heller (Maana yake katika Kijerumani ni sarafu ya thamani ndogo). Pia ilikuwepo 1 Heller na 5 Heller.