Kasomi
JT Founder
SAFARI YA INTANETI CHINI YA BAHARI: NYAYA ZINAZOUNGANISHA DUNIA
Unajua intaneti yako inavyosafiri? Wengi hudhani data ipo angani, lakini ukweli ni kwamba inasafiri kupitia nyaya ndefu zilizopo chini ya bahari.
Nyaya hizi nyembamba lakini zenye nguvu ndizo zinazopeleka video unazotazama, simu unazopiga mtandaoni, na ujumbe unapotuma kutoka bara moja hadi jingine kwa sekunde chache tu. Kampuni kubwa kama Google, Amazon, na Facebook zinazimiliki na kuzitandaza ili kuharakisha mawasiliano duniani.
Lakini je, nyaya hizi huwekwa vipi? Kwa nini ni muhimu zaidi kuliko setilaiti? Na zina changamoto gani chini ya bahari?
Credit: Kona ya teknolojia