Kasomi
JT Founder
Katika mchakato wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwapata wagombea wa Ubunge, jina la Paul Makonda limepenya hatua ya awali ya mchujo ngazi ya wilaya ya Arusha.
Kwa upande mwingine, jina la mpinzani wake wa muda mrefu, Mrisho Gambo, halikupitishwa katika ngazi hiyo ya wilaya — hali inayozua mjadala mkubwa katika duru za siasa.
Makonda sasa anaendelea kusubiri mchujo wa ngazi ya mkoa, huku Gambo akiweka matumaini ya jina lake kurejeshwa na kuingia kwenye nafasi ya tatu bora, kabla ya safari ya majina hayo kuelekea ngazi za juu za uteuzi.
Je, historia itaandikwa upya katika siasa za Arusha mwaka huu?