FUTURE PRESIDENT
Member
Huko mitandaoni Kuna tetesi kwamba watumishi wa Umma ikiwemo wanajeshi hawajapata mishahara Yao Hadi sasa!!
Kuna tatizo gani!!?Kwa kawaida wanajeshi wanapata mishahara yao tarehe 20 kila mwezi na kada nyingine ni tarehe 23,24! Lakini Hadi Sasa hakuna dalili yoyote inyoonekana watumishi hao kutabasam!!
Mwenye taarifa tafadhali!kulikoni!!?
KAZI na utu,tunasongambele!!