Advertise here

Hofu kuu yatanda Kwa watumishi wa umma baada ya kucheleweshwa malipo ya mishahara mwezi huu!

Huko mitandaoni Kuna tetesi kwamba watumishi wa Umma ikiwemo wanajeshi hawajapata mishahara Yao Hadi sasa!!

Kuna tatizo gani!!?Kwa kawaida wanajeshi wanapata mishahara yao tarehe 20 kila mwezi na kada nyingine ni tarehe 23,24! Lakini Hadi Sasa hakuna dalili yoyote inyoonekana watumishi hao kutabasam!!

Mwenye taarifa tafadhali!kulikoni!!?

KAZI na utu,tunasongambele!!
 
Nasikia wamelipwa juzi juzi
 
hela zote zimeishia kampeni
 
Similar threads

Back
Top