Kasomi
JT Founder
Wadau leo nawajuza je, wajua ukiitikisa simu yako wakati umefungua Facebook yako itakupa option ya kuripot tatizo.
Endapo ukiitikisa simu yako ukiwa umefungua App ya Facebook (ukiwa unaperuzi Facebook) Basi jua itakupa option ya kuripot tatizo.
Jaribu kutikisa simu yako ukiwa umefungua Facebook Kisha Leta mrejesho.