Advertise here

Search results

  1. Kasomi

    Graça Machel ndiye mwanamke pekee katika historia aliyewahi kuolewa na Marais wawili tofauti

    Graça Machel ndiye mwanamke pekee katika historia ya kisasa aliyewahi kuolewa na marais wawili tofauti na kuwa Mama wa Taifa wa nchi mbili tofauti. Awali, aliolewa na Rais wa Msumbiji, Samora Machel, mwanaume aliyeshiriki naye ndoto ya ukombozi na maendeleo ya taifa. Baada ya kifo cha...
  2. Kasomi

    Je, Unafahamu Kuwa Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti

    ULIWAHI KULIJUA HILI? Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti Kutoka Mwaka 1966 Mpaka Kufikia Mwaka 1994 Ambapo Noti Ya Shilingi 100 Ilibadilishwa Na Kuwa Sarafu!!
  3. Kasomi

    Je, Wajua noti kubwa ilikuwa Tsh 100 lakini kwa sasa Tsh 10,000 ndio noti kubwa

    Noti kubwa ilikuwa Tsh 100 wakati Mwinyi anaingia madarakani. Miaka 9 baadaye tayari noti kubwa ikawa Tsh 10,000 na Tsh 100 ikawa sarafu ambayo inatumika mpaka sasa kama sarafu Hii ni noti ya Tsh. 100 ya zamani Hii ni noti ya 10,000 ya zamani Na hii ndio Tsh.10,000 ya sasa
  4. Kasomi

    Patrice Lumumba: Shujaa asiye na kaburi, Uovu waliyoufanya kwenye ardhi ya kongo bado inatesa akili za Waafrika

    Patrice Lumumba: Shujaa asiye na kaburi, Uovu waliyoufanya kwenye ardhi ya kongo bado inatesa akili za Waafrika Baada ya Mkutano wa Berlin wa mwaka 1884 hadi 1885 nchi ya DR' Kongo yenye ardhi tajiri zaidi Duniani ilitolewa kama mali ya kibinafsi kupitia Taji ya Kifalme la Ubelgiji na kupewa...
  5. Kasomi

    Historia ya Dr. John Thoburn Williamson na Mgodi wake wa Almasi Mwadui

    HISTORIA YA DR JOHN THORBURN WILLIAMSON NA MGODI WAKE WA ALMASI MWADUI Sehemu ya 4 Mwadui kulikuwa na mfumo wa maji safi na maji taka yaliyotibiwa na wataalamu waliosomeshwa na mgodi. Huduma ya elimu ya watu wazima na elimu ya uchumi wa nyumbani "home economics" kwa wamama waliokuwa nyumbani...
  6. Kasomi

    Historia ya Dr. John Thoburn Williamson na Mgodi wake wa Almasi Mwadui

    HISTORIA YA DR JOHN THORBURN WILLIAMSON NA MGODI WAKE WA ALMASI MWADUI Sehemu ya 3 Aliamua kuuita mgodi wake jina la Mwadui jina la mtemi aliyemkaribisha, alikuwa anaitwa Ng'wadubhi. Jina la Ng'wadubhi lilimshinda kulitamka ndipo akaita Mwadui. Alipoona amekusanya almasi za kutosha ndipo...
  7. Kasomi

    Historia ya Dr. John Thoburn Williamson na Mgodi wake wa Almasi Mwadui

    HISTORIA YA DR. JOHN THORBURN WILLIAMSON NA MGODI WAKE WA ALMASI MWADUI Sehemu ya 2 Hali hiyo ilimuweka njia panda kwani vifaa vyake vilikuwa vinahitaji matengenezo nawafanyakazi wake walikiwa wakimdai mshahara. Aliamua kupunguza wafanyakazi na kuamua kumalizia mchanga wake ili afungashe...
  8. Kasomi

    Historia ya Dr. John Thoburn Williamson na Mgodi wake wa Almasi Mwadui

    HISTORIA YA DR. JOHN THOBURN WILLIAMSON Sehemu ya 1 John Thoburn Williamson alizaliwa huko Montfort, Quebec mnamo tarehe 10 Februari 1907, ni wapili kuzaliwa kati ya watoto wanne kwenye familia yao. Baba yake, Bertie J Williamson,alikuwa ni Mscotland ambaye alikuwa amehamia Canada kutokae...
  9. Kasomi

    Aiba Mafuvu Zaidi ya 100 ya Binadamu Makaburini

    Mwanaume mmoja Nchini Marekani, Jonathan Gerlach (34) amekamatwa na kushtakiwa kwa makosa zaidi ya 300 yakihusisha wizi wa zaidi ya Mafuvu 100 ya Binadamu pamoja na vito vya thamani vilivyoibwa katika Makaburi ambapo tukio hilo limeripotiwa kutokea katika Makaburi ya Mount Moriah mjini...
  10. Kasomi

    Je, wajue Dollar 1 ni Sawa na 994,055 kwa Fedha ya Irani

    Kwa mjibu wa mabadilishano ya fedha za kigeni dollar 1 ya Marekani ni Sawa na zaidi ya Laki tisa tisini na nne (994,055) Hivyo 1,000 ya Tanzania ni Sawa na 398,020.02 ya Iran
  11. Kasomi

    Walioandika Matusi kwenye Mitihani kufatwa Mashuleni

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limeweka wazi kuwa litawafuatilia wanafunzi 19 walioandika matusi kwenye mitihani ya upimaji ya kitaifa ya darasa la nne na kidato cha pili iliyofanyika 2025 na kuhakikisha shule zinawachukulia hatua za kinidhamu. Hatua hiyo inakuja kufuatia kukithiri kwa...
  12. Kasomi

    Walio feli Kidato cha Pili wataendelea Kidato cha Tatu bila kurudia

    SABABU KWANINI WANAFUNZI WALIOFAULU NA WALIOFELI WANAENDA KIDATO CHA TATU Kutoka Wizara ya Elimu Tanzania ✍️ "Ninaelekeza kwamba wanafunzi ambao hawakufikia alama za ufaulu za Kidato cha Pili mwaka 2025 waendelee na Kidato cha Tatu mwaka 2026 badala ya kukariri (kurudia) Kidato cha Pili...
  13. Kasomi

    NECTA Yatangaza Matokeo ya kidato cha Pili 2025/2026 (FTNA)

    NECTA Yatangaza Matokeo ya kidato cha Pili 2025/2026 (FTNA) Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Kidato cha Pili 2025/2026, yanayojulikana pia kwa lugha ya Kiingereza kama Form Two National Assessment (FTNA) 2025 Results. Matokeo haya yanahusu mitihani ya kitaifa...
  14. Kasomi

    Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 (SFNA Results) Tazama Hapa

    Matokeo ya Darasa la Nne 2025/2026 (SFNA Results) Tazama Hapa Baraza la Mtihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA 2025) Tathmini ya Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA) ni tathmini kamilifu ya kitaifa iliyoundwa kutathmini maendeleo ya ujifunzaji...
  15. Kasomi

    Nyongeza Katika Historia ya Ng'wanamalundi

    NYONGEZA KATIKA HISTORIA YA NG'WANAMALUNDI KUTOKA KATIKA NILIYOSIMULIWA NA WAZEE WANAGU. Anaandika Faida Potea, Sijui tuseme ni asili au ndiyo mambo ya kizungu yametutawala, miaka ya nyuma hasa huku usukumani ilikuwa ni kawaida mkimaliza kula chakula cha usiku babu au baba ni lazima awasimulie...
  16. Kasomi

    Hiki ndio chanzo cha wanyama kuwala watoto wao yaani Infanticide

    INFANTICIDE: Umeshawahi kusikia stori ya mbwa kumla mtoto wake? Au paka kumgeuza mtoto wake kuwa kitoweo? 😳 Sasa hiyo Hali inaitwa INFANTICIDE — yaani mzazi kumuua au hata kumla mtoto wake mwenyewe (sio wa jirani jamani 😅). Kwa wanyama, kuzaliwa haimaanishi uko salama... muda wowote unaweza...
  17. Kasomi

    Vyuo vya gharama za juu zaidi Afrika (2025)

    Hii ni orodha ya baadhi ya vyuo vya juu vinavyotoza ada kubwa Afrika kwa mwaka wa masomo: 1. The American University in Cairo (AUC) – Misri • Ada ya kujisoma kwa mwaka: $20,000 – $32,000 (takriban TZS ~54,000,000 – 86,000,000) kwa mwaka, kulingana na programu. 📍 Inapatikana: Cairo, Misri – moja...
  18. Kasomi

    Shebby Aliwekeza 2M akapata 1M Analia Anataka Ushauri

    Shebby aliona kwenye Facebook post inayosema: "Matikiti yanalipa sana, ukiweka 1M unapata 2M – faida ya 100%!" Kwa imani hiyo, alishauriwa na mtu aweke 2M ili apate 4M. Mwanaume akaamini. Akawekeza: akalima, akapalilia, akapiga dawa, akajituma kweli. Msimu wa mavuno ukafika – matikiti...
  19. Kasomi

    Dizasta Vina - Theluji Lyrics

    Dizasta Vina - Theluji Lyrics Lyrics: ======= Anachota kwa vidole viwili Anachemsha kwa kijiko inanawili Inakuwa nyevu, anachukua bomba la sindano anaivuta Inajaa kisha anadunga mwili Akili inahama anaita stimu Ladha tofauti, sawa na sukari na ndimu Kila stimu ikiisha anajiongezea Anazoea...
  20. Kasomi

    Januari 07 Kanisa la Orthodox husherehekea Krismasi

    Kila ifikapo Januari 07 kwa kila mwaka huwa pia ni sikuku ya Krismasi, Wakristo wa madhehebu ya Orthodox husherehekea kuzaliwa Yesu Kristo kila Januari 07 tofauti na madhehebu mengine mengi duniani ambayo Krismasi huwa Disemba 25. Sababu kubwa ni kwamba Kanisa la Orthodox linafuata kalenda ya...
Back
Top