Kasomi
JT Founder
Miongoni mwa matajiri namba 1 duniani Bilionea Elon Musk amebarikiwa kupata mtoto wa 14 na mpenzi wake Shivon Zilis ambaye pia ni mfanyakazi wake kwenye kampuni yake ya Neuralink, mtoto huyu amepewa jina 'Seldon Lycurgus' na ni mtoto wa 4 kwenye familia yao na wa 14 kwa Elon Musk,
-
Sasa Elon anakuwa miongoni mwa watu maarufu Marekani wenye watoto wengi, ana watoto 14 na wanawake wanee tofauti,
Chanzo: SamMisagoTV