Kasomi
JT Founder
Mfahamu Nikola Tesla
Picha ni Nikola Tesla kabla ya kufariki.
Kuzaliwa 1856- kufa 1943 akiwa na umri wa miaka 86
Nikola Tesla alizaliwa ulaya mashariki kwenye nchi ambayo leo ni Croatia/Serbia mnamo 10 Julai 1856. Alitoka katika kabila la Kiserbokroatia: (Никола Тесла) alikuwa mhandisi na mwanafizikia kutoka milki ya Austria-Hungaria aliyehamia baadaye Marekani. Na pia alikuwa mfanyakazi Wa Thomas Edison.
Tesla alizaliwa Taifa Ambalo Kipindi ambacho kulikuwa na option mbili tu Kujiunga na Jeshi au dini. Baba yake alikuwa ni Mchungaji wa kanisa na mama yake alikuwa mama wa nyumbani. Alilazimishwa kujiunga na kanisa lakini alikataa hakuwa tayari. Mama yake kakuwahi kwenda shule lakini alikuwa na talent ya kushona na uwezo mkubwa wa kukariri mashahiri vitu vilivyomfanya mtoto Tesla kuvutiwa sana.Vitu hivi vilimfanya kuwa na uwezo wa kufanya hesabu ngumu za CALCULUS (watu wahisabati mnanielewa) kwa kichwa kitu kilichowafanya waalimu wahisi anadanganya au kunasehemu anaangalizia.
akiwa na upenzi wa sayansi alipata kazi katika viwanda. Baadae alienda ujerumani alipopata kazi kisha akaajiriwa na kampuni ya kimarekani ya umeme DC General Electric ya thomas edison founder wa DC current
Waliokuwa na tawi ufaransa. Kutokana na uwezo mkubwa aliouonyesha akapata transfer kwenda makao makuu ya kampuni hiyo Marekani afanyekazi ya kudesidn na pia atakuwa karibu zaidi na edison.
Akaingia Newyork akiwa bado kijana sana.
Tesla alifariki huko
Austria-Hungaria, Marekani mnamo 7 Januari 1943;
Tesla alikuwa Genius.
Alikuwa na uwezo wa kuongea lugha 8 kwa ufasaha yaani alikuwa na uwezo wa kuongea Kingereza, kitaliano, Serbian, Czech, German Hungarian, French, na kilatino.
Pia Tesla Alikuwa kama Mwanafalsafa sababu ameacha falsafa nyingi ambazo zinatumika hadi leo.
Pia Elon Musk aliiita Kampuni yake Tesla ili kukamilisha juhudi za Nikola Tesla