Advertise here

simulizi

  1. Kasomi

    Luciano Re Cecconi na Simulizi Yake ya Kuhuzunisha

    Anaitwa Luciano Re Cecconi, Huyu Alikuwa ni Mchezaji Maarufu wa Timu ya Taifa ya Italia na Klabu ya Lazio. Hii Ndio Simulizi Yake ya Kuhuzunisha Ambapo Mwaka 1977 Akiwa na Miaka 28 Alifariki kwa Kuuwawa Kisa Kikiwa ni 'Utani'. Huu Ulikuwa ni Msiba wa Kuhuzunisha Zaidi Katika Soka la Italia kwa...
  2. Kasomi

    Simulizi; Oscar Kambona alivyokutana na Mwalimu Nyerere

    Na Peter Mwaihola Ilizaliwa Tanganyika, ikajengwa jamhuri ikazaa Tanzania. Tanzania kama Taifa lililoasisiwa na Vijana makini wenye, busara, utukutu wa kimawazo na uchu wa mabadiliko. Tanzania ya akina Julius Nyerere, Mfalme Kawawa, Bibi Titi Mohamed, Eli Anangisye Mwalulesa na wengine wengii...
  3. Simulizi

    Simulizi: Miss Peppy

    MISS PEPPY🥵💦🔥 SEHEMU YA 01~05 _________________________________ Linapokuja swala la kukimbia Mimi ni zaidi ya upepo 😂, No! ni zaidi ya kasi ya risasi.....najikubali sana kuliko kitu chochote wala sihitaji maoni yenu 🤸 Jina langu naitwa Manuu watu wengi wanapenda kuniita Miss peppy 🥰 Najua...
  4. Simulizi

    Simulizi: Moyo wa Kweli

    MOYO WA KWELI 1-5 01 (Baada ya kukutana na Ava, alisahau kama safari ya mapenzi ni udanganyifu mtupu....🥂) Karibu 🖐️ Si kila mtu unayekutana naye katika maisha ni mdanganyifu, wengine ni faraja ilioletwa duniani kuwa tabasamu kwa watu wengine. Ni wachache sana wanaoamini katika huu kweli...
  5. Simulizi

    Simulizi: UNBROKEN BOND

    UNBROKEN BOND Epsde..1 Whtsapp 0786193547 Mwandishi namtunzi Happy charles 🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎 UTANGULIZI Urafiki wajinsia mbili tofauti yani wakike nawakiume uwa unaleta maswali mengi sana kwenye jamii Yetu nataswira zaajabu tu Kila mtu akisema lake niwapenzi wingine uwona nimarafiki tu Ichi...
  6. Simulizi

    SIMULIZI: MAMA MKWE MCHAWI

    SIMULIZI: MAMA MKWE MCHAWI SEHEMU YA KWANZA (01) "Hivi we mwanamke mie kila siku niwe naongea tu, naongea ili unifanye nionekane mbaya kwa majirani sindio?" Bwana Brison Aidan aliuliza kwa ukali punde baada ya kufunua Hotpot ya chakula alicholetewa na mke wake Bi Paulina, mkewe alistaajabu kwa...
  7. Simulizi

    Simulizi: GENERAL’S DAUGHTER

    Simulizi: GENERAL’S DAUGHTER (01) Mtunzi: Kalmas Konzo Simu: 0625 646265 Camp 26 ilikuwa ni kambi maalum ambayo ilikuwa imeandaliwa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa kikosi maalum ambacho kilikuwa kimekusudiwa kuanzishwa na jeshi la ulinzi la Bantu. Kazi ya kikosi hiki itakuwa ni kutekeleza misheni...
  8. Simulizi

    Simulizi: NI YEYE ❤️

    😊😊😊😊 1------5 Simulizi: NI YEYE ❤️ Sehemu: 01 Utangulizi... Maisha Huwa hayaend vile unavotaka wewe ila yanaenda vile yanavotaka yenyewe na siku zote acha matukio yapite kama yalivopangiliwa na muda uongee ukweli,maana muda ndo una majibu sahihi ya maisha ya mtu unaweza kuwa ulipata kuwa mtu...
  9. Simulizi

    Utambulisho wa ukurasa wa Simulizi

    Simulizi ni ukurasa kwa ajili ya kuweka Simulizi mbalimbali ziwe za maisha halisi au za kutunga zinazo kusanywa kutoka kwa wahusika mbalimbali. Unaweza shiriki Simulizi yako nasi tutaituma hapa huku tukitaja chanzo au kutoa sifa kwa mwandishi panapo bidi. Hivyo utapata mkusanyiko wa Simulizi...
  10. Kasomi

    SIMULIZI YA KUSISIMUA KUHUSU GAMBOSHI 1-Mwisho

    HII HAPA SIMULIZI YA KUSISIMUA KUHUSU "GAMBOSHI" SIMULIZI YA KUSISIMUA KUHUSU GAMBOSHI Mtunzi; Timotheo Mathias‎ Simu yake-0765676242 Kabla ya simulizi-Maana ya maneno yaliyotumika kwenye simulizi -GAMBOSHI ni makazi au eneo linalotumika kuhifadhia misukule. -MSUKULE‬ ni mtu aliyechukuliwa...
Back
Top