Advertise here

Simulizi: UNBROKEN BOND

Simulizi

Member
UNBROKEN BOND

Epsde..1
Whtsapp 0786193547

Mwandishi namtunzi
Happy charles

🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎

UTANGULIZI

Urafiki wajinsia mbili tofauti yani wakike nawakiume uwa unaleta maswali mengi sana kwenye jamii Yetu nataswira zaajabu tu Kila mtu akisema lake niwapenzi wingine uwona nimarafiki tu

Ichi ndio kilichoendelea katika hii simulizi yetu ungana nami utaenjoy nakuburudika makasiriko pia kawaida ndio maisha yetu.

Ungana nami katika simulizi hii naimani utachukua kitu.

Raina nimschana mwenye miaka 23 aliishi nadada yake Naira Mwenye miaka 28 waliishi wao baada yawazazi wake kufariki wote wawili katika ajari Yagari.. Waliachiwa mali nyingi na Naira alikua mkubwa kwa ndugu yake so ndio alibaki najukumu lakumlea mdogo wake Raina.

Wazazi wao walivo fariki.. Waliacha familia moja ambayo ilikua naukaribu nawao basi katika familia izi mbili walizidisha ukaribu baada ya Raina bint mrembo sana kua naurafiki na Rajab

Anza nayo rasmi sasa..

🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎

Asubuh namapema jumba flan lakitafahari kweli alionekana Raina akiamshwa nadada yake Naira.

Raina raina!!!
Nisauti ilio kua ikimuasha

"Aah da Naira bhana bado mapema niache nilale mimi."

"Amka uko chauvivu ujui leo anakuja Raj kutoka wingereza uko masomoni kwake??
"Ooooh my good anakuja raj kweli dada yupo wapi jaman!!"

"Yupo uwanja wandege nasasa kasema atafika apa bila wewe kwenda kumpokea yani ata enda kwao anakutaka wewe."

Raina alikurupuka kwenye shuka akalirusha uko nakukimbilia bafuni
Dada yake naira alicheka tu kidogo

"Yani awa naukubwa wote u awajakua yani kama watoto yani.. Alizidi kucheka nakuangalia cmu yamdogo wake Kwenye screen aliweka picha ya rajab

Tunaacha kwao na Raina ..

Katika jumba moja tena nalo nizuri tu nayo ilikua familia nyingine ya rajabu Rafiki wa Raina.

"Ivi uyu mtoto kwaio awezi kuja bila kumuona raina ?? seriously ata wewe dada yake shamila kasema akutaki amfate zaidi yakumtaka raina.. Alafu ukiwauliza wanakata sio wapenzi kweli..??

Nisauti ya mwanamke mmoja wamakamo tu alitwa Swaumu napia aliku nawatoto wawili shamali na rajab

"Jamani jamani Mom Punguza presha umewasahau awa urafiki wao toka wadogo.. Rajab ataki kupokelewa namtu mwingine zaidi yauyo keki wake raina awo
Upendo wao nitoka wadogo mimi ata ainishtui nawala sitaki mniambie et nikampokee uyo mtoto wako kipenzi rajab akhu siendi..

Alijibu shamila yeye alijifupisha akijiita shamii alikua dada yake na rajab alimjibu mama yake be swaumu uku akiwa kakunja zake nne kwenye kochi anasafisha kuchaπŸ’… zake taratibu tu nakuzipuliza.

"Shamii hii italeta shida urafiki gani hu ambao auna mwisho toka wadogo adi sasa wakubwa alafu raina na rajab nilika lakuoa nakuoela sasa sio wapenzi mmoja wapo akioa je!

" Bwana mimi nimechoka naaya mambo yao watajua wao kama wanapendana au lah lakini wale nimarafiki embu acha eka eka jamani kama mtu akimpata wakumpenda wataoa nakuolewa pia

Apa napanga nyimbo yakuimba leo studio usione nimekaa apa natunga nyimbo zangu badae naenda zangu studio

"Kazi kuwaza miziki tu ujue wewe sasa unamiaka 30 adi leo unamchumba wala mpenzi yani wewe ndio uweleweki kabisa.."

"Muda ukifika nitaolewa nanikimpata uyo wakunioa unadhani kuoa kuolewa rahisi icho kipaji pia, naona kama unanitoa kwenye mood zangu nipo navibe zangu zamisuc leo .. Shamii alinyakuka akaelekea zake chumbani.

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’

Raina alivaa haraka haraka nakujipodoa.

"Raina kama sio muislm wewe vinguo vifupi vifupi kilamara kwanini upendi kuvaa kujistri wewe??"

"Bwana da naira umeanza ndio anapenda rafiki yangu alafu ndio nilivo toka mdogo ata ukisema sasa itasadia nini!! niache bhan Ndio napenda kujiachia Joto ili nijitie minguo gubi gubi nani nataka kukosa pumzi aah! sina ulokore uwo mimi" .

Raina alivalia kisket kifup aswa tena kilichokomea mapajani alichomokea nashart lake alilo ona limemkaa vyema alizoe kuachia nywele zake akua mtu wakusuka suka sana nywele zake japo alijaliwa nywele nyingi tu.

Alienda sehemu ya packing yamagari alitoa gari lake lock akapanda mlinzi wao wagetin alifungua geti Raina akatoka akielekea aiport alipo rafiki yake rajab.

Alifika aiport nakumuona rajab kasimama tu nakibeg chake alikua kaka flan rangi yake mweupe Kiasi nawala weupe wake auboi alafu mrefu kiasi.

Basi raina Alishuka haraka haraka kwenye gar nakwenda kumkumbatia Rajabu

"Waooooh alimkumbatia mzima mzima.. Uku rajab akimruhusu amkumbatie zaidi ata yeye alirudisha kumbatio pia.

"Raj!!!!!! Nimekumiss raj!!"
"Me toooo jamani
nimekumiss we mtoto"

Walikumbatiana kwamuda kiasi dhen wakaachiana..

"Ehh so umeshindwa kuja kwenu adi mimi nije nikufate serious??"
"Aah wee mimi nitoke apa bila wewe apana nilitaka kuona icho kiface chako best yangu nisingeweza mwaka nimrefu. "

Jamani wewe mkaka sijui nikiolewa itakuaje!! raina aliongea kimatani tu ila rajab kama akupenda kauri ya Raina

"Ooh nakutania my friend twende zetu ma home my dear. raina alibeba kibeg cha rajab nakumuungizia kwenye gari lake alilokuja nalo yeye.. Akamshika rajab mkono nakumuingiza kwenye gari nae akapanda wakaondoka.

"Rajab karudi naurafiki wao sasa utazidi tena utazidi sanaa nilijua akirudi utakua umepungua ila kufika tu kamtafuta Sijui rajab akija kuoa uyu Raina ndugu yangu ivi Itakuaje sasa naona urafiki wao nikama upo zaidi ya userious nitafanyeje namimi Na sitaki mdogo wangu apate shida."

Naira alikua akiwaza kweli nasasa alichukua funguo yake yagari nakutoka nje alipanda gari lake nakuondoka pale kwao.

raina alimfikisha rajab kwao nakumfungulia mlango wagari kama kawaida yake alimshika mkono uku mtumishi akibeba bag lake rajab..

"Ona sasa walivoshikana mikono yani awa watakua namwisho mbaya awa mimi ata cjui mimi.
Mama rajab aliongea baada yakuona wameshikana mikono..

"Hello mom!!!"

"Waooh mwanangu jamani umezidi kua mrefu nauwo uhandsome wako sasa... "

"Shamii nae alienda kumuwao Mdogo wake.. Nilijua utakuja apa unaongea kingereza univuruge mimi dada yako ambae nilikimbia shule."

"Hahah sio mimi mwaka tu eti nisahau kiswahili chetu uku chuo chenyewe japo niuzonguni ila wabongo kibao tu napenda lugha yangu mimi.."

"Alafu raj ujapata ata pis uko yakizungu ukavutika nae jamani nipate mie wizo mzungu.."

" Ila da shamii bhan akuna mzungu Alienivutia mimi, nataka nipate mke uku uku kwetu tz.."

"Yani wewe aya bhan"
"Sawa karibu naona sasa umekua naushamaliza masomo yako yaudaktari Naona muda wakuoa umefika kabisa.."

Swaumu ambae nimama yake aliongea tu nakumumbatia kijana wake maan alimmiss kweli .. Ila raina alishtuka ata rajab japo awakua wapenzi ila mioyo yao kama ilijuana.

"Nilijua tu mtashtuka sasa rajab lazima uoe utoke uko kifungoni mimi nitakutaftia mwanamke aliongea mwana mama yule kimoyo uku akiwa kawakazia macho.

Full buku namba 0786193547

ITAENDELEA
 
UNBROKEN BOND

Epsde.. 2
Whtsapp 0786193547

Mwandishi namtunzi
Happy charles

🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎

"Mama mimi sina mpango wakuoa leo wala kesho mimi sioi.. Alikazia raj
"Eeh wewe ndio utaoa je! raina bint yangu

"Nawe Raina utaolewa pia..??"
"Ndio mama sitaolewa pia istoshe mimi bado mdogo.."

"Wote wajinga mnanidanganya mkidhani nikombolela mnacheza mchezo wakujificha salma unaudogo gani adi useme we mdogo miaka 23 uku raj akiwa na 27 apo kunaodogo gani au ndio mnavojidanganya sio??"

"Mama nimechoka naitaji kula nakulala pia ili nipumzike.."

"Nitakupikia mimi chakula.. raina alikua namazoea sana naile nyumba aliijua ipasavyo nao walimzoea tu kutokana nafamilia zao kua naukaribu wala awakujali kuhusu chochote alichotaka kufanya.

"Sawa rafiki bora unavomtreat kaka yangu kama mke vile kumbe marafiki tu mmh!!"
Shamii aliguna zake nakurudi zake kwenye kochi uku mama yake akiingiza bag lakijana wake Raj.

"So utakula au ukaoge kwanza nipike chakula uje ule msafi upunguze uchovu wasafari.. "
"Sawa lakini nikimaliza kuoga nakuja uko jikoni.."

Raina alingia jikoni nakukatakata viazi mviringo ili kumpikia chipsi rafiki yake rajabu.

Naira dada wa raina alingia katika Nyumba moja yakawaida tu ilikua nauzuri wake pia kiasi chake. alipack gari lake nakushuka akizama ndani.

"Waooh sister naira utaishi wewe nimekuwaza sanaa karibu.. Sauti yakija mmoja nae alikua mrefu mweusi japo sio sanaa kiasi chake ilimpokea Kwabashasha kweli.

"Ahsante Juma but nimechoka kufikiri mimi huu.. Alikaa kwenye kochi nakupumua kidogo.

" Eeh nini shida mbona
kama umepanic??"

"Sio kidogo Juma , rajab katoka uko wengereza kwake karudi apa tanzania naunajua awa wakiwa pamoja kama watoto awajui wanachojenga kwenye akili zao bila wao kujua.."

"What?? rajab karudi mbona kaninisuprise ivo bila kuniambia mimi best yake kweli??"

"Ndo ivo ata mimi kasema baada yakumpigia uyo raina wake akawa apatikani unadhani ata mimi ningejua?? sio rahisi my dea.."

"Oky najua urafiki wao lakini unajua fika navompenda Raina nampenda naukaribu wao unanitesa sana japo sio wapenzi ila naumia sanaa sister.."

"Najua juma ndio kimenileta apa unajua ata kusoma alikataa alitakiwa sasa awe chuo ila aliona afanye mambo Yaurembo.. Kwamapenzi yangu nikamfungulia kampuni kubwa

tu inayo jiusisha na mambo yamapambo sasa ataki kwenda kazini kaachia wafanyakazi
Ujue nampenda sanaa ndio alio upande wangu akuna ndogo anaejali kuhusu sisi

"Oky nenda kwenye point unataka nifanyeje maan sio kawaida yako kuja kwangu mapema yote hii??
"Mmh naitaji umuoe Raina!!!!"

"Nini!!! We sister Naira, raina anajua naakili zake zile zakitoto toto??"

"Ajui ila nitamforce ili akubali maan najua badae rajab ataoa so mdogo wangu ataishije! sababu hu urafiki wao unaniumiza sana kunakitu kinajenga nakitakua janga apo badae.."

"Leo ndio umeongea madini, marazote nakwambia uwo urafiki wao utaleta janga utaki nielewa alafu nae mpenda mimi niyeye nipe utajutia kunipa mdogo wako napesa namaisha mazuri atapata shidaa.

"Juma pesa kwetu tunazo Nyingi tu nataka mdogo wangu umpe furaha amani upendo Icho ndio kitu nakitaka kwako..
Sahamii amani .
Alinyanyuka kwenye Kochi..

"Juma naimani nikikupa mdogo wangu utamtunza nakumpa furahaa.. Naitaji muda ili akuelewe nakila kitu kiende sawa maan sitaki badae aje ateseke pale rajab atapopata mke wake wamaisha.."

"Oky sister naimani muda so mrefu nitakua shemela wako, alitania juma nae Naira alindoka katika jumba lile lakifahari.

"Nikimpata raina hahaah naona nitavomtesa yani mimi nimpe furaha!! really?? uku kanisumbua kiasi ichi lazima atajutia kidogo.

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’

Raina alimaliza kumpikia chipsi raj nasasa alimpelekea chumbani kama kawaida yake rajab alipenda kulia chumbani kitu ambacho salma nae alishajua basi alimzoe..

Alingia chumbani kwa rajab baada yakubisha hodi.
"Nawe nilishakwambia ingia usibishe bishe hodi bhana.. Mimi sipendi"

"Sasa nisipobisha hodi nikikukuta upo uchii je!!
"Aah wewe ata ukiona akuna shida wewe sirafiki yangu.."

"Mungu wangu umekaa uko kwa wazungu ushaharibikiwa wewe.. Embu sogea apa ule.."
Rajab alisogea na raina alivuta kimeza kilichokua pale chumbani kwaraj nakumuwekea chakula chake pale

"Juice yako yaembe uipendayo iyaapo nishakutengenezea Kula nachipsi zako ushibe.. raina alinyanyuka akitaka kuondoka.
Rajab aliushika mkono wake

"Unaenda wapi uku ujanilisha nawewa kula naju ujala ulikuja nipokea tu bila ata kula kitu.. Njo tule ote basi Raina nae alirudi nakuanza kula.

Mama rajab be swaumu alikua muda wote Akiwatazama tu alimpenda raina kama mwanae ila ule ukaribu wakijana wake na Raina ulimuumiza sanaa alijua nimarafiki ila sasa umezidi nammoja wapo ikitokea akioa itakuaje!!!..

Alichukua cm yake nakupiga mahali.. Hello.. Minah anarudi lini kutoka masomoni..?? mama rajab alimuuliza mtu yule aliompigia cm nae alimjibu
Anarudi week ijayo"

"Oky naitaji aje kua mke wa kijana wangu rajab.. Najua nahata bint yangu anampenda sana kijana wako.. Mama rajab alikata cm yake nakuwatazama kwambali raj na raina maan awakua wamefunga mlango.

"Natumai uyu bint atakua mbali naraj ata raj nae apunguze mazoea nae maan watakuja kuumizana sana awa watoto nami sitaki kumpa maumivu yeyote Kati Yao. Ngoja minah arudi.

Full buku tu namba zamalipo! 0786193547

ITAENDELEA.
 
Back
Top