whatsapp

  1. Kasomi

    WhatsApp kuanza kutumia usernames utaweza wasiliana na watu bila kuwapa namba yako

    Baada ya miaka mingi ya kusubiri na miezi kadhaa ya maandalizi, mtandao wa WhatsApp umeanza rasmi kuruhusu watumiaji wake kote ulimwenguni kutumia majina yao ya kipekee ya watumiaji @username kama ilivyo kwa Instagram, X na mitandao mingine. Kwa muda mrefu, namba ya simu ndiyo imekuwa njia...
  2. Kasomi

    YouTube yaongoza kufuatiliwa zaidi Marekani Huku Facebook, Instagram na Tiktok zikifuatia pamoja na Mitandao mingine

    Mitandao hiyo iliyofuatiliwa zaidi Marekani ni kama ifuatavyo: YouTube Facebook Instagram TikTok WhatsApp Reddit Snapchat X (Twitter) Threads Bluesky Truth
  3. Kasomi

    How to add, edit, or delete a group member tag on WhatsApp

    Group member tags allow users to add more information about themselves or their role in a group. For example, a person can describe themselves as a coach in their sport team’s group chat or their role in an organization. This information will be visible to current and future group members and...
  4. Kasomi

    ChatGPT haitapatikana kwenye WhatsApp kuanzia Januari 15, 2026

    kutokana na mabadiliko ya sera na masharti kutoka kwa WhatsApp, ChatGPT haitapatikana tena kwenye WhatsApp baada ya Januari 15, 2026. Ingawa chatGPT ilipendelea zaidi kuendelea kukuhudumia kwenye WhatsApp, lengo ni kurahisisha mabadiliko kwa watumiaji wote iwezekanavyo. Unaweza kuendeleza...
  5. Kasomi

    WhatsApp wameanza kuweka matangazo kwenye status

    WhatsApp wameanza kuweka matangazo kwenye status. Watumiaji wa Whatsapp muda sio mrefu mtaanza kukutana na mabadiliko mapya kwenye program ya Whatsapp baada ya ripoti mpya toka WhatsApp kuwa Watumiaji wa Whatsapp wataanza kupokea matangazo upande wa Status. Whatsapp wameanza kuweka matangazo...
  6. Kasomi

    Meta imesema kuanzia mwakani, kampuni zote za AI zitashindwa kutumia WhatsApp

    Meta imesema kuanzia mwakani, kampuni zote za AI zitashindwa kutumia WhatsApp. Kwa akili bandia kama vile ChatGPT na Perplexity zinaweza kutoa huduma zake ndani ya app ya WhatsApp na watumiaji wa WhatsApp wanaweza kuchat na ChatGPT ndani ya WhatsApp bila kulazimika kutumia app ya ChatGPT...
  7. Kasomi

    New Feature Roundup: Updates to stickers, calls, channels, status and more on WhatsApp

    It’s been a busy few months bringing new features and updates to WhatsApp. Here’s the latest roundup of some of the new tools, settings, and features you may have missed across the Chats, Calls, and Updates tabs. Chats Your place for private and encrypted chats with family and friends...
  8. Kasomi

    Mtandao wa Whatsapp wametangaza feature mpya ya kuweza kuruhusu watu kuweza kureshare status

    💭 Mtandao wa Whatsapp wametangaza feature mpya ya kuweza kuruhusu watu kuweza kureshare status kupitia simu zao. 💭 Japo feature hii kwa sasa iko kwenye majaribio , ila ni feature ambayo itawapa watu uwezo wa ku share status ya rafiki || ndugu || jamaa ambayo amepost kupitia Mtandao wa Whatsapp...
  9. Kasomi

    US: Meta Forced to Sell Instagram and WhatsApp

    Facebook owner could be forced to sell off Instagram and WhatsApp Social media giant Meta could be forced to sell off Instagram and WhatsApp as a legal battle begins in the US. Owned by billionaire Mark Zuckerberg, the tech business which also owns Facebook bought Instagram in 2012 and WhatsApp...
  10. Kasomi

    Marekani: Meta Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  11. Kasomi

    How to use effects, filters, and backgrounds on WhatsApp

    For Android user follow the steps below For iOS users follow the steps below
  12. Kasomi

    Sasa Unaweza kuweka Music kwenye Status Yako WhatsApp (Kuhusu kuongeza muziki kwenye Hali ya WhatsApp)

    Ongeza muziki kwenye Hali yako ya WhatsApp (WhatsApp Status) na ufanye status yako iimbe. Chagua wimbo Wakati wa kupost status, unaweza kuongeza muziki kwa: Kubofya 🎶 juu ya skrini yako, unapochagua picha au video unayotaka kushiriki kwa hali yako. Inatafuta wimbo maalum au msanii ambaye...
  13. Kasomi

    ChatGPT sasa inapatikana kwenye WhatsApp

    ChatGPT sasa inapatikana kwenye WhatsApp kwa namba ya kimataifa ya (1-800-242-8478). Huduma hii inatumia akili bandia ya ChatGPT na watumiaji wanaweza kuzungumza nayo kama vile unavyozungumza na marafiki kwenye WhatsApp. Huhitaji akaunti yoyote kutumia huduma hii, na inapatikana kwa watumiaji...
  14. Kasomi

    Watumiaji wa WhatsApp wataweza kuweka nyimbo kwenye status

    Kampuni ya Meta, ambayo ndio kampuni inayomiliki Instagram, Facebook, WhatsApp, Threads na vifaa mbalimbali; imeingia mkataba mkubwa na kampuni ya Universal Music Group (WMG). Mkataba mpya wa Meta na WMG utaruhusu Meta kuweka mfumo wa nyimbo kwenye Status za WhatsApp. Watumiaji wa WhatsApp...
  15. Kasomi

    Jinsi ya kuweka nakala rudufu za WhatsApp kwenye Hifadhi ya Google

    Ili kuweka nakala rudufu kwenye Hifadhi ya Google, utahitaji: Akaunti ya Google inayofanya kazi kwenye kifaa chako. Huduma za Google Play iwe imesakinishwa kwenye kifaa chako. Hii ni programu inayotumika kusasisha programu za Google na programu kutoka kwenye Duka la Google Play. Nafasi ya...
  16. Kasomi

    Whatsapp kuweka maboresho mapya kwa watumiaji wake

    Siku ya Jana, WhatsApp imesema inaanza kuweka maboresho makubwa kwa watumiaji wote. ???????????????????????????????????????? ???????????????????????? ???????????????????????????????? ???????????????????????????? ????????: 1️⃣ ???????????????????????????????????? - ni mfumo wa kuchagua emoji...
Back
Top