Malimi Stanley New member Apr 12, 2022 #1 Je wajua kuwa mfumuko wa bei huwa unaathiri sana nchi ambazo ni masikini kwa kuwa kuna ugumu wa maisha na bado vitu vinapande bei kwa kasi sana
Je wajua kuwa mfumuko wa bei huwa unaathiri sana nchi ambazo ni masikini kwa kuwa kuna ugumu wa maisha na bado vitu vinapande bei kwa kasi sana
Kasomi JT Founder Apr 12, 2022 #2 Hakika kabisa kwa nchi zetu hizi hapo tunasafari kubwa Sana. Ngoja tupige hatua huenda tutafika tu