Advertise here

Korea Kusini yaipiga Marufuku DeepSeek AI ya china

Kasomi

JT Founder
KOREA KUSINI YAIPIGA MARUFUKU DEEPSEEK AI YA CHINA
1739824795059.jpg

Serikali ya Korea Kusini imeamua kuzuia upakuaji wa DeepSeek, chatbot ya akili mnemba kutoka China, ikidai kuwa haijathibitisha kuwa app iyo inafuata sheria za ulinzi wa data. Hatua hii imekuja wakati ambapo wasiwasi unaongezeka kuhusu jinsi AI kutoka China inavyokusanya na kutumia taarifa za watumiaji.

DeepSeek imekuwa gumzo ulimwenguni baada ya kupanda kileleni mwa chati za programu zinazopakuliwa zaidi. Hatua hii ya Korea Kusini inaibua mjadala mpana je, hili ni suala la faragha, au ni ushindani mkali wa kiteknolojia kati ya China na mataifa mengine?
 
Back
Top