Advertise here

Fahamu kwa nini Mtoto hucheza na Nyoka pasipo kung'atwa

Kasomi

JT Founder
Screenshot_20250427-180746~2.png

Kikawaida binadamu ana tezi inaitwa "Adrenal grand" ambayo huzalisha homoni mbali mbali.....
Miongoni mwa homoni hizo ni "adrenaline" ambayo kazi yake kubwa ni kuamsha hisia kwenye mwili.

Hisia zinaweza kuwa kuhisi hatari, ko ile homoni inamwagwa mwilini kuuandaa mwili kupambana na hatari hiyo.

Kwa mantiki hyo, mtoto mdogo anakuwa bado hajawa na uwezo wa kuzalisha homoni hyo....hivyo mwili wake unakuwa hauna hisia za hatari ya nyoka wala hawezi tambua kama nyoka ni hatari kwake.

Ila kiumbe au mtu ambaye anazalisha hiyo homoni, kitendo cha kumwona nyoka tu hiyo tezi huzalisha homoni hiyo mwilin. Na nyoka ni kiumbe mwenye kuhisi hatari sana, ana uwezo wa kunusa hisia za hatari...hivyo huwa rahsi kujua kuwa binadamu yule anaweza kumdhuru naye hujiandaa kupigana..

Ndo maana nyoka kama hujamwona, wala kumgusa hawezi kukudhuru kirahsi tena anaweza kukimbia.... ila ukishamwona hisia za hatari kuptia homoni ya adrenaline zikapanda mwilin naye anajiandaa kukushambulia.

Lakini pia Nyoka anaweza cheza na wanyama wengine pasipo kuwang'ata kwa Sababu ya hatari ambayo haijazalishwa
 
Back
Top