Advertise here

Helabet Tanzania jinsi ya kujisajili kwa promo code A84

futaa

Member
Helabet Tanzania nikampuni ya kubashiri mtandaoni inayoendesha shughuli zake tangu 2020. Helabet imejizolea umaarufu mkubwa kutokana na huduma zake nzuri katika nchi mbalimbali. Katika andiko hili tutajadili mambo mbalimbali kuhusu helabet.
InShot_20250616_225711215.jpg


Jinsi ya kujisajili Helabet
Kuandikisha account mpya ya helabet nijambo rahisi. Hizi hapa hatua za kufungua account.
1. Tembelea tovuti ya helabet kwa kubofya >HAPA>
2. Jaza namba yako ya simu kisha bofya send sms utapokea codes jaza
3. Jaza password yako yenye mchanganyiko wa namba
4. Jaza promo code ya Helabet ambayo ni A84
5. Bofya kiduara cha kukubali sheria na masharti
6. Bofya jisajili.

Baada ya kujisajili unaweza kuendelea na hatua nyingine za kuweka pesa kwenye account yako. Ili uweze kupata bonasi hakikisha umekemilisha usajili sehemu ta profile kisha weka pesa utapokea asilimia 100% ya pesa yako uliyoweka kwa mara ya kwanza. Kumbuka bonasi huambatana na masharti nimuhimu kusoma na kufuata vigezo na masharti hayo.

Njia za kuweka Pesa Helabet Tanzania.
Unaweza kuweka pesa na kutoa pesa Helabet kwa njia ya Mpesa, Tigopesa, Halopesa, na airtel money.

Helabet Promo code Tanzania
Hii ni namba maalumu ya kujisajilI kwa mara ya kwanza kwaajili ya kupatiwa bonasi. Promo code ya helabet unatakiwa kujaza A84 wakati wakufungua account yako ya Helabet

Kudownload apk ya Helabet Tanzania (helabet app download )
App ya helabet ni miongoni mwa app bora zaidi katika michezo ya betting tanzania. Ili kupakua app ya helabet halikisha umeruhusu simu yako kupokea app zinazotoka nje ya playstore sehemu ya Setting. Kisha pakua Kwa kubofya >HAPA>

Tukutane katika makala nyingine , kumbuka kubashiri kistaarabu
 
Back
Top