Kasomi
JT Founder
Orodha ya mikoa ya Tanzania na ukubwa wake
Nafasi ya Mkoa, Jina la Mkoa na Kilomita za mraba
Nafasi ya Mkoa, Jina la Mkoa na Kilomita za mraba
- Tabora76,151
- Morogoro70,624
- Lindi66,699
- Ruvuma66,399
- Singida49,340
- Katavi45,843
- Kigoma45,066
- Manyara44,522
- Dodoma41,311
- Arusha37,576
- Mbeya35,954
- Iringa35,503
- Pwani32,547
- Songwe27.656
- Tanga26,667
- Kagera25,265
- Simiyu25,212
- Rukwa22,792
- Mara21,760
- Njombe21,347
- Geita20,054
- Shinyanga18,901
- Mtwara16,710
- Kilimanjaro13,250
- Mwanza9,467
- Dar es Salaam1,393
- Unguja Kaskazini470
- Unguja Kusini854
- Unguja Mjini Magharibi230
- Pemba Kaskazini574
- Pemba Kusini332