Advertise here

Kongamano la semina ya sensa kwa vijana wa vyuo mkoani mbeya | ukumbi wa chuo cha teku

Gire

New member
Kongamano la Semina ya sensa kwa vijana wa vyuo mkoani Mbeya linafanyika mkoani katika Ukumbi wa Chuo kikuu Cha TEKU kongamano Hilo limehudhuriwa na vijana wa CCM Vyuo vya Mbeya

Baadhi ya Vyuo vilivyo huzuria katika kongamano Hilo Ni;
CBE, TEKU, MUST, CUCoMU (zamani SAUT), MZUMBE, TPSC, MCHAS, TIA, CDTI, na vingine.
IMG_20220423_123016.jpg

IMG_20220423_123105.jpg

====
Matukio zaidi (UPDATES)

Burudani inaendelea ukumbini wakati wakisubiri Semina kuanza.
Pia wageni mbalimbali wakiwasili.
 
Kongamano la Semina ya sensa kwa vijana wa vyuo mkoani Mbeya linafanyika mkoani katika Ukumbi wa Chuo kikuu Cha TEKU kongamano Hilo limehudhuriwa na vijana wa CCM Vyuo vya Mbeya

Baadhi ya Vyuo vilivyo huzuria katika kongamano Hilo Ni;
CBE, TEKU, MUST, CUCoMU (zamani SAUT), MZUMBE, TPSC, MCHAS, TIA, CDTI, na vingine.
View attachment 140
View attachment 141

Sensa?
 
Back
Top