Advertise here

Tangazo: Majina ya walio Omba Nafasi za Sensa yametoka

Kasomi

JT Founder
Majina ya walio Omba Nafasi za Sensa kwa Makarani, Wasimamizi wa Maudhui na Wasimamizi wa Tehama yametoka.

Hivyo kwa walio chaguliwa wanahitaji kwenye usaili (Interview) itakayo fanyika fanyika kuanzisha Siku ya tarehe 19 Mwezi huu Mpaka tarehe 21 mwezi huu.

Kwa Wasimamizi na Makarani usaili utafanyika katani na kwa Wasimamizi wa Tehama usaili utafanyika Halmashauri.

Majina ya walio itwa kwenye usaili yanapatika kwenye mbao za Matangazo katika kata husika ya muombaji, pia Muda na eneo usaili utakapo fanyika upo kwenye ubao wa Matangazo kwenye kata husika

Note: Fika katika kata kuangalia jina lako

Pia soma
 

Similar threads

Back
Top