Ajira Za Sensa 2022 kwa Makarani na Wasimamizi

Jamii opportunities

JT-Expert Member
Ajira Za Sensa 2022 kwa Makarani na Wasimamizi.

SIFA ZA WAOMBAJI

1. Elimu ya Kidato Cha Nne na Zaidi
2. Awe na Uzofu wa Kutumia Simu Janja/Kishkwambi
3. Awe Mtumishi wa Umma, Sekta Binafsi, au Yeyote asiye na Ajira anayeishi Eneo husika
4. Umri ni Kuanzia Miaka 18-45
5. Asiwe amewahi Kutiwa hatiani kwa Kosa lolote la Jinai.........

Zaidi soma Tangazo hili.
FB_IMG_1651758412086-1.jpg


Kujaza fomu ya maombi ya kazi za sensa Bonyeza hapa

====
Pia soma Maelezo/Ndodoo Muhimu za Maombi ya Ajira Katika Mfumo; Ajira za Muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi 2022
 
Wananzengo baada ya majibu ya walio chaguliwa kwenye sensa pia tutawawekea hapa na kwa tatizo lolote unaweza andika chini hapa kwenye reply
 

Similar threads

Back
Top