NECTA: Matokeo ya Darasa la Saba 2025 yatangazwa

Kasomi

JT Founder
1762334307267.jpg

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Prof. Said A. Mohamed ametangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025 leo tarehe 5 Novemba, 2025 Jijini Dar es Salaam. Matokeo yanaonesha jumla ya watahiniwa 937,581 sawa na asilimia 81.80 ya watahiniwa 1,146,164 wenye matokeo wamefaulu mtihani huo.

Bonyeza hapa kutazama
 
 
Back
Top