Advertise here

Baada ya mipango ya majasusi kufeli ,tutarajie option ipi kati ya hizi!!?

Wameshindwa kumzuia asigombee na Sasa anachanja mbuga na wote tunaimba kibwagizo "KAZI na utu,tunasonga mbele" kufeli Kwa matarajio yao tutarajie:-

1.Namba mbili atakae apishwa nae ndio tumaini lao!!?kulikua na tetesi kwamba walinda mipaka wanamkubali kwamba ye ni mzalendo,pia yule mkurugenzi wa usalama n rafiki yake wa karibu kifupi hawajakutana barabarani hadi kule Brazil walikua pamoja!

2.wagombea wa vyama vidogo waliopo waanze ku rest in peace kama delaying tactic ya uchaguzi kutofanyika kwa siku sitini sitini takriban miezi miwili miwili,Ili mtia Nia na kampeni zake zidode na kumuondolea umaarufu pia kumchosha skate tamaa,delaying mechanism isaidie due process ndani ya chama ili apatikane mwingine!!?

3.Ndugu Luhaga mpina ashinde pingamizi lake la kutogombea na agombee awe plan kuu ya wazee was kimedani,kwamba akishinda apewe!coz anakubalika kama mwanamme kutoka Kanda ya ziwa na mtanganyika ajizolee kura za kutosha plus sarakasi za kimedani Ili aapishwe nankuunda serikali ya mseto nchini!!

4.serikali ya mseto Kwa ushindi wa mgombea wa Chama tawala Ili kupunguza joto la free run election kama inavyojulikana kimataifa!!?

Je unafikiri imeshaameiwa kwamba no business as usual yaani free run kwake Hadi 2030 au bado no untill further notice!!!?

We waonaje!!?

KAZI na utu tuna songa mbele!!
 
Lifanyike kila linalowezekana huyu mama asishike nchi!
Atashika,inaonekana tayari wanamtandao wamewazidi nguvu wazalendo kama walivyozidiwa mwaka 2005 jk akashinda!!

Wale jamaa wakiamua lao Huwa hawashindwi na bahati mbaya wale wachawi wamesha kufa kwa mujibu wa jk mwenyewe,kina warioba na Butiku hawana power kama kina mkapa ndani ya chama!!

Ni vizuri tukubaliane na ukweli kwamba,kama taifa tumeshindwa kuwa pro active kijasusi na kikatiba Hadi haya yametukuta!!

Katiba mpya ilioaswa iwe tayari takriban kipindi Cha mwisho Cha mkapa ,walau tungeokoa taifa!lakini kwa sasa kupata katiba mpya nzuri lazima maumivu yatakua makali sana ndani ya chama na serikali!!

Tusubiri aapishwe tuone siku 100 za utawala wake!halafu wazalendo wajipange pole pole Hadi 2035 labda wanaweza kubahatisha kupata nafasi!!
 
Umeeleweka Kabsa kwa mfumo wetu Rais anachaguliwa na mfumo wananchi wao ni wawakilishi wa kupiga kura ila kwenye maamzi ya nani awe Rais wananchi hatumo
 
Wameshindwa kumzuia asigombee na Sasa anachanja mbuga na wote tunaimba kibwagizo "KAZI na utu,tunasonga mbele" kufeli Kwa matarajio yao tutarajie:-

1.Namba mbili atakae apishwa nae ndio tumaini lao!!?kulikua na tetesi kwamba walinda mipaka wanamkubali kwamba ye ni mzalendo,pia yule mkurugenzi wa usalama n rafiki yake wa karibu kifupi hawajakutana barabarani hadi kule Brazil walikua pamoja!

2.wagombea wa vyama vidogo waliopo waanze ku rest in peace kama delaying tactic ya uchaguzi kutofanyika kwa siku sitini sitini takriban miezi miwili miwili,Ili mtia Nia na kampeni zake zidode na kumuondolea umaarufu pia kumchosha skate tamaa,delaying mechanism isaidie due process ndani ya chama ili apatikane mwingine!!?

3.Ndugu Luhaga mpina ashinde pingamizi lake la kutogombea na agombee awe plan kuu ya wazee was kimedani,kwamba akishinda apewe!coz anakubalika kama mwanamme kutoka Kanda ya ziwa na mtanganyika ajizolee kura za kutosha plus sarakasi za kimedani Ili aapishwe nankuunda serikali ya mseto nchini!!

4.serikali ya mseto Kwa ushindi wa mgombea wa Chama tawala Ili kupunguza joto la free run election kama inavyojulikana kimataifa!!?

Je unafikiri imeshaameiwa kwamba no business as usual yaani free run kwake Hadi 2030 au bado no untill further notice!!!?

We waonaje!!?

KAZI na utu tuna songa mbele!!
Mungu ataamua ugomvi, akishamrestisha in peace mpira unarudishwa kati mnaanza upya
 
Similar threads

Back
Top