Advertise here

Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya Jiji Mwanza; Mtendaji wa Mtaa Daraja III Nafasi (10) Ngazi ya Mshahara TGS B

Jamii opportunities

JT-Expert Member
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza anapenda kuwatangazia Wananchi
wote wenye sifa ya kujaza nafasi za kazi (10) za Mtendaji wa Mtaa Daraja la III na (04)
Madereva Daraja la II baada ya kupata kibali Ajira Mpya chenye Kumb Na FA.97/22801/9
cha tarehe 13/05/2022 kutoka wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/06/2022

Pakua fomu hapo Chini ili kusoma Zaidi.
Pakua hapa fomu ya PDF
 

Attachments

  • 20220106421612TANGAZO-LA-NAFASI-ZA-KAZI-MWANZA-CC.pdf
    504.6 KB · Views: 171

Similar threads

Back
Top