Kasomi
JT Founder
NECTA Yatangaza Matokeo ya kidato cha Pili 2025/2026 (FTNA)
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi Matokeo ya Kidato cha Pili 2025/2026, yanayojulikana pia kwa lugha ya Kiingereza kama Form Two National Assessment (FTNA) 2025 Results. Matokeo haya yanahusu mitihani ya kitaifa iliyofanyika mwezi Oktoba/Novemba 2025 kwa wanafunzi wa shule za serikali, binafsi pamoja na wanafunzi wa kujitegemea.
Upimaji wa Kidato cha Pili ni kipimo muhimu cha kitaifa kinacholenga kutathmini kiwango cha uelewa wa wanafunzi kabla ya kuendelea na masomo ya Kidato cha Tatu. Matokeo haya pia hutumika kama msingi wa kubaini ubora wa ufundishaji na ujifunzaji katika shule za sekondari nchini.
Bonyeza Hapa Kutazama Matokeo