Orodha ya Mawaziri Wakuu Tanzania toka 1972 - 2025

Kasomi

JT Founder
Ifuatayo ni orodha ya Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu mwaka 1972.

Hata hivyo, Julius Kambarage Nyerere na Rashid Mfaume Kawawa waliwahi kuhudumu nafasi hiyo wakati nchi hiyo ikijulikana kama Tanganyika kabla ya cheo hicho kufutwa kati ya Novemba 1964 na Februari 1972.

1762987776814.jpg

Nani atakuwa mrithi wa Majaliwa Kassim Majaliwa?
 
Back
Top