Advertise here

Hizi ndizo Sarafu 3 Zenye Thamani Zaidi Dunia

Kasomi

JT Founder
Hizi ndizo Sarafu 3 Zenye Thamani Zaidi Dunia
kuwait-dinar-artwork.jpg

1- Kuwaiti Dinar (KWD)
Hii ndio Sarafu ya thamani ya juu zaidi, inayotokana na akiba kubwa ya mafuta, ambapo KWD 1 ni sawa na TZS 8,345

2- Bahraini Dinar (BHD):
Hii ndio Sarafu ya pili kwa Thamani Duniani, inayoungwa mkono na uchumi imara ambapo BHD 1 ni sawa Na TZS 6,789

3- Omani Rial (OMR):
Inathaminiwa sana, mara nyingi huunganishwa na Dola ya Marekani. Ambapo OMR 1 ni sawa na TZS 6,658
 

Similar threads

Back
Top