Kasomi
JT Founder
Anaandika Emmanuel Minga
Unaweza kupenda sana lakini Bado ukaachwa.......
Kumpenda mtu hakugarantee kuwa mtu huyo utabaki naye milele na asikuache.
Kumwambia mtu nakupenda na ukija kuniacha nitaumia hakulindi chochote kwenye mahusiano yenu.
Kiujumla hisia zako juu ya yule unayempenda hazisaidii chochote kumfanya asikuache.
Huu ndio ukweli, kumpenda mtu tu hakutoshi kutunza mahusiano yenu. Kunahitajika mtaji wa ziada ili kuyategemeza mahusiano yenu.
Niseme hivi kupenda mpira haimaanishi unaweza kuucheza ! Kupenda ni kitu kingine na kuwa na uwezo wa kuyamiliki mahusiano ni kitu kingine.
Kupenda tunapenda sote lakini wanaofanikiwa kutunza mahusiano hayo ni wale tu ambao wameamua kwenda hatua zingine mbele.
Unaweza kulipenda gari na usiweze kuliendesha , au ukaliendesha likaharibika ukashindwa kulirekebisha.
Nazungumzia Nini hapa? Ni kwamba kitu muhimu zaidi kwenye mahusiano yako si upendo ila kujua Namna ya kuyatunza mahusiano yako.
Kufunga harusi ni jambo Moja na kuitunza ndoa ni jambo lingine. Unahitaji Ujuzi wa Namna ya kutunza mahusiano yako. Ndoa sio harusi kwamba kila Siku kitakuwa na vigeregere na shangwe ndani ya nyumba ndoa ni mbali na hivyo kabisa.
Mahusiano yanahitaji Ujuzi , Jifunze na tambua mahitaji ya mahusiano yako vizuri Ili uyafaidi
Mahusiano ni matamu Ukikutana na watu wenye Ujuzi wake , Ukikutana na mafundi. Jifunze Ujuzi huu uyaongezee maisha mahusiano yako.