Moja ya vitu vinavyowafanya wanaume kuwa dhaifu katika tendo ni pamoja na:
1. Msongo wa mawazo
2. Ulaji mbovu
3. Utumiaji wa madawa kiholela
4. Kitambi
5. Baadhi ya magonjwa ikiwemo Kisukari n.k
Baadhi ya vitu vya kufanya ni pamoja ni kula chakula halisi cha asili hasa chenye madini ya Zinc na Iron.
Mti wa mlonge pamoja na Msamitu vinasemekana kusheheni madini hayo kwa wingi. Unaweza kuviangalia zaidi mtandaoni utaona sifa zake