Kasomi
JT Founder
Anaandika Emmanuel Minga
Kitu kinacho mtofautisha aliyefanikiwa na asiyefanikiwa ni hasa tabia wanayoionyesha baada ya kushindwa kufanikisha jambo fulani.
Waliofanikiwa sio kwamba hawashindwagi au hawajawahi kushindwa ila ni kwamba wamekubali kuwa na mtazamo tofauti pale tu wanaposhindwa.
Waliofanikiwa huona kufeli kwao kama fursa ya kuukaribia ushindi wao. Huona njia walizotumia kama sehemu ya kuwatambulisha njia isiyo sahihi kwa ajili yao,
hivyo wanapata hamasa ya kuutafuta usahihi wa njia za kulifanya jambo hilo.
Kiufupi waliofanikiwa hutumia changamoto wanazozipitia mwanzo kutengeneza uzoefu wa kuwasaidia mbele ya safari na wengi wao huwa wanaziandika.
Lakini walioshindwa wengi hukimbia tatizo lililowafanya washindwe na kukimbilia kutafuta kitu kisicho na changamoto ( actually hakipo) hivyo wengi huishia kuharibu mambo mengi na mwisho wa siku hujikuta hawajafanya kitu.
Kupata hasara kwenye biashara haimaanishi hiyo biashara haikufai! Au ukisikia biashara fulani inalipa haimaanishi wanaoifanya hawapati hasara! No kila biashara inakuhitaji muda kwa kujenga uzoefu na ukomavu.
Fikra za walioshindwa haziko tayari kujifunza , wanahitaji matokeo kwa haraka wasipo yapata wanakata tamaa.
Vijana wengi ukiwashauri kuhusu biashara atakwambia amefanya biashara nyingi lakini hawajafanikiwa, kiukweli ni kwamba walikimbia kipindi ambapo walipaswa kujenga uzoefu kwenye hiyo biashara.
Wafanya biashara wote unaowaona leo ni wakubwa na wanabiashara nyingi walianza na biashara moja tena waliing'ang'ania wakajifunza elimu ya biashara kwa vitendo kupitia hiyo biashara.
So wote wawili yaani waliofanikiwa na walioshindwa kufanikiwa kuna njia moja walipita yenye miiba lakini mmoja akaamua kuruda na mwingine akaamua kusonga.
Huwezi kufanikiwa ikiwa leo ukawa dalali wa kuuza simu, kesho ukaacha ukahamia mitumba , kesho kutwa ukahamia kwenye madawa ya asili no no no huwezi kutoka.
Tafuta biashara moja ya kufocus nayo ikifika kipindi watu wajue ukihitaji simu mcheki fulani, simu inakuzingua hebu mcheki fulani , unahitaji ushauri wa simu gani ununue mcheki fulani, unahitaji uagize simu mcheki fulani , yaani kitu chochote kuhusiana na simu jina lako litajwe.
Yes hap ndipo utaanza kuyaona mafanikio ya biashara yako na ndipo unaweza kujiongezea matawi.
I just inspire you to work in your weakness until it becomes your strength ????.

Upvote
0