Ikiwa wewe utakuwa na majibu ya yes kwakila mtu na kila kitu wewe ni yes tu!
Tambua kabisa maisha yako hayana mpangilio.
Hapana nyingi ni ishara ya ukubwa yani, una ratiba zako, mipango yako, thamani yako,kiufupi upo kwenye reli unajua unachotaka na unapo kwenda✍????