Kasomi
JT Founder
Taarifa za kifo cha Dkt. Ndugulile zimetangazwa na Spika wa Bunge
Dkt. Tulia Ackson.
"Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile. Kwa niaba ya Wabunge natoa pole kwa familia, wakazi wa Kigamboni na Watanzania wote. Mwenyezi Mungu allaze roho ya marehemu mahali pema peponi,"amesema Spika.
Pumzika kwa amani