Kasomi
JT Founder
2025 MV MWANZA - Hapa Kazi Tu 
Meli ya MV Mwanza - Hapa Kazi Tu itazinduliwa na kuanza safari zake mwaka huu 2025 badala ya tarehe ya awali iliyokuwa 2024 kutokana na changamoto za kukosekana kwa bandari kubwa kuweza kupaki Meli hii, Ingawa kwa sasa Upanuzi wa bandari za Mwanza, Kagera na Mara unaendelea kwa kasi ili kukizi mahitaji haya.
Meli hii itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tani 400 za mizigo na itakuwa ndio meli kubwa zaidi ukanda wa maziwa makuu.