Bei ya Unit moja ya Maji Arusha

Kasomi

JT Founder
Hapa ni Bei ya unit ya Maji kwa mkoa wa Arusha.
Kutoka Mamlaka ya Maji safi na usafir wa mazingira jiji la Arusha.
Arusha urban Water supply and sanitation Authority (AUWSA)
Screenshot_20250218-174511~2.png

NB: Unit moja ya Maji ni sawa na Lita 1,000 za ujazo ambazo ni sawa na ndio kubwa 50 za Lita 20
 
Back
Top