Advertise here

Mfumo wa Maisha unatengeneza Maskini na Matajiri Duniani

Kasomi

JT Founder
MFUMO WA MAISHA UNAOTENGENEZA MASKINI, NA MATAJIRI DUNIANI.

Mfumo una nguvu kuliko mazingira.

Mfumo una nguvu kuliko akili yako.

Mfumo ukiwa bora, hata kama ni kilaza unaonekana bora

Mfumo ukiwa MBOVU hata ukiwa na akili kubwa, bado unapuyanga sana, hautafanya lolote lenye maana..

Nadhani hii ndiyo sababu WASOMI WENGI ni maskini kutokana na ukweli kwamba mfumo wa elimu ya darasani haumuandai mtu kuwa TAJIRI bali kuwa chini ya UTEGEMEZI FULANI..

(achana na hayo, mimi sina ugomvi na wasomi japokuwa tunapaswa kujikagua kila siku ili yasitukute yakutukuta).

Hebu leo tujifunze mifumo 4 ya maisha inayotengeneza maskini ja matajiri.

Mfumo wa kwanza.

AJIRA.

Hapa ni kufanya kazi ili upewe pesa za kuendesha maisha. Wengi sana wakishaajiriwa huamua kuridhika na chanzo kimoja cha mapato japokuwa hasara zake ni kwamba ajira hairidhiwi, ukitumbuliwa au ukistaafu huwa ajira yako inaishia hapo.

Ajira ni nzuri, ila si vema kuitegemea maisha yako yote kiasi cha kusubiria mpaka ustaafu pasipokuwa na kitega uchumi kingine... Safari ya kutafuta pesa ni pana sana usijiwekee mipaka ya kwenye ajira tu.

Mfumo wa pili.

KUJIAJIRI.

Hapa unakuwa BOSS wa maisha yako mwenyewe, wewe ndo unaamua kufanya kazi kwa bidii, kwa uvivu, au kwa namna yoyote ile biashara yako inakutegemea wewe kwa 100%

Siku ukipata dharura, matatizo, magonjwa, misiba na majanga mara nyingi unakula akiba yako yote mwisho unabakia MTUPU.

Kujiajiri ni kuzuri sana lakini siyo mwisho wa safari ya kutafuta pesa.

Mfumo wa tatu.

KUMILIKI MFUMO WA KUINGIZA PESA (BUSINESS SYETEM)

Huu ni mfumo bora sana ambao unakuwezesha kutengeneza pesa

✓Kwa kutumia watu wengine, bila kuwasimamia, kuwaongoza wala kusumbuana nao.

✓Unatengeneza pesa hata kama haupo, hata kama unaumwa, hata kama una majanga nk pesa zinazidi kuingia kwako..

Huu mfumo ndio wanaoutumia makampuni makubwa kama COCACOLA, ASAS, AZAM, MO, NA VUNJABEI.

Shida yake ni kwamba mfumo huu ili kuujenga inahitaji muda, mtaji mkubwa na akili kubwa ya biashara.

Japokuwa kwa karne hii ya utandawazi, kuna siri kubwa ambayo matajiri wakubwa kama ROBERT KIYOSAKI, BILL GATES NA ERIC, IBRAHIM CHENZA, NA ALFONCE CHILATO wanasema kwamba

Inawezekana kwa 100% kumiliki mfumo wa biashara unaoweza kukuingizia kipato kwa kutumia kitu kinaitwa REVERAGE hata kama haujui pa kuanzia..

Siri hii wanaijua wachache sana, kama unatamani kuifahamu tunaweza kuwasiliana ili tusaidiane katika hilo, yamkini na wewe leo unaweza kuanza kutengeneza mfumo wa biashara yako kwa mafanikio makubwa ya badae.

(Unaweza kunipigia simu kwa mawasiliano yaliyoko hapo chini,usitume ujumbe kama uko serious)

Mfumo wa nne

UWEKEZAJI.

Unaweza kuwekeza kwenye majengi ya biashara, hoteli, lodge, nyumba za kulala wageni, nyumba za kupanga, flemu za biashara, nk

Unaweza kuwekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao, matunda, nguzo za umeme nk

Unaweza kuwekeza kwenye hisa, hatifungani, amana za serikali, nk.

Unaweza kuwekeza kwenye eneo lolote ambalo litakupa mafanikio makubwa kwa siku nyingi zijazo..

Kama anavyopendekeza Warren Burret kwamba USISAHAU KUWEKEZA NDANI YAKO, maana uwekezaji wowote ili ufanikiwe lazima uwe unaujua uwekezaji wako kwa undani zaidi.

Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake cha CASHFLOW QUADRANT anasema maskini wote wako kwenye kundi la kwanza na la pili

Na matajiri wote wanapatikana kundi la tatu na la nne.

Swali langu kwako leo,

Je safari yako ya kutafuta pesa iko kwenye mfumo gani?

1.AJIRA?
2.KUJIAJIRI?
3.KUMILIKI MFUMO IMARA?
4.Uwekezaji?

Je umeridhika nao kwa hatima bora ya maisha ya badae?

Tafakari chukua hatua...
 
Aisee mada tamu sana hii mmenigunua macho.
 
Cheza???????????? Ibrahim cheza wa bf suma
 
Similar threads

Back
Top