Advertise here

Search results

  1. Kasomi

    Selection za kidato cha kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi zatoka 2026 Wanafunzi 246,197 wamechaguliwa

    You can also read here https://kasomi.co.tz/selections-for-form-five-and-technical-education-colleges-2026/
  2. Kasomi

    Selection za kidato cha kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi zatoka 2026 Wanafunzi 246,197 wamechaguliwa

    Wanafunzi 246,197 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi kati ya hao wasichana 114,102 na wavulana ni 132,095 ikijumuisha wanafunzi 631 ni wenye mahitaji maalum. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki...
  3. Kasomi

    Married The Mafioso I Saved: A Love Against All Odds

    Married The Mafioso I Saved: A Love Against All Odds In the bustling streets of contemporary America, destiny weaves the lives of two seemingly disparate souls in an unexpected tapestry. ‘Married The Mafioso I Saved’ introduces us to Hannah, a woman whose life took a twist of fate that no one...
  4. Kasomi

    Justinian Rweyemamu Mtanzania wa Kwanza Kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) Kutoka Chuo cha Harvard

    MTANZANIA WA KWANZA KUPATA SHAHADA YA UZAMIVU (PhD) KUTOKA CHUO KIKUU MAARUFU DUNIANI CHA HARVARD Pichani ni Justinian Rweyemamu ndiye Mtanzania wa kwanza kupata Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu maarufu duniani cha Harvard. Justinian Rweyemamu alikuwa bingwa wa hesabu, uchumi na...
  5. Kasomi

    Umewahi kuwasikia Skull and Bones

    SKULL AND BONES Skull and Bones ni moja ya vyama vya siri vinavyojulikana zaidi duniani, na kinahusishwa moja kwa moja na Chuo Kikuu cha Yale nchini Marekani. Kundi hili limekuwa likivutia umakini mkubwa kutokana na usiri wake, historia ndefu, na ukweli kwamba limezalisha watu wengi wenye...
  6. Kasomi

    NACTVET: Kufunguliwa Kwa Dirisha la Udahili Ngazi ya Astashahada na Stashahada Kwa Mwaka wa Masomo 2026/2027

    KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma kuwa Udahili wa wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada katika...
  7. Kasomi

    IAA Princess Yatwaa Ubingwa Ligi ya Wanawake Arusha

    IAA PRINCESS YATWAA UBINGWA LIGI YA WANAWAKE ARUSHA Timu ya soka ya wanawake ya Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA Princess) imetwaa ubingwa wa Ligi ya Wanawake ngazi ya Mkoa wa Arusha baada ya kuifunga Emayani Queens kwa bao 1–0 katika fainali iliyopigwa Mei 24, 2026 katika Uwanja wa Barafu, Mto wa...
  8. Kasomi

    Application Window for Diploma & Masters Programmes for the Academic year 2026/2027 is now open at IAA

    Master’s Degree Programmes Offered are: 1. Master of Business Administration in Corporate Management (MBA-CM) 2. Master of Business Administration in Information Technology Management (MBA-ITM) 3. Master of Business Administration in Leadership & Governance (MBA-LG) 4. Master of Business...
  9. Kasomi

    MONKEY wa PAKISTAN aliyejifanya chizi Kumbe JASUSI hatari wa INDIA

    MONKEY wa PAKISTAN aliyejifanya chizi Kumbe JASUSI hatari wa INDIA Katika vitu vinavyofurahisha saana kuvisoma ni stori za kijasusi yaani huwa zinavutia mno ni kama movie lakini unaiona kwa kuisoma tu Basi moja ya kitu kilichonifurahisha ni story ya jasusi aliyeitwa Ajit Doval wengine humuita...
  10. Kasomi

    Majina ya Vijana waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria) Mwaka 2026

    Majina ya Vijana Walioteuliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria) Mwaka 2026 Shule Mbalimbali. Bonyeza hapa kisha ingiza jina la shule au namba ya shule, harafu bonyeza palipo andikwa Angalia Waliochaguliwa iliyopo upande wa kulia
  11. Kasomi

    Historia ya Miriam Chirwa

    Historia ya Miriam Thomas Chirwa ("Mhubiri Miriam") Miriam Thomas Chirwa, maarufu kama “Mhubiri Miriam,” ni mwimbaji wa Muziki wa Injili kutoka eneo la Makongo Juu, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam. Alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998 akiwa na changamoto ya ulemavu wa macho pamoja na mwili...
  12. Kasomi

    NAPA ni nini? Fahamu Maana yake, kazi yake na jinsi ya kupata

    NAPA ni nini? ➡️Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI pamoja na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi walibuni mfumo unaoitwa NaPA. Kirefu cha NAPA ni National Physical Addressing System ➡️Kwa Kiswahili huitwa: Mfumo wa Kidigitali...
  13. Kasomi

    Bao Bora la Scott McTominay limewekwa katika noti ya £20 Nchini Scotland

    Bao Bora la Scott McTominay limewekwa katika noti ya £20: Bao alilofunga Scott McTominay ambalo limewafanya wafuzu kucheza mashindano ya FIFA World Cup Kwa mara ya kwanza tangu 1998 limewekwa rasmi katika noti rasmi itakayotumika nchini Scotland 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿. Benki kuu ya Scotland imethibitisha...
  14. Kasomi

    TANZIA Mama mzazi wa Magufuli Afariki Dunia

    Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli amefariki dunia leo Mei 25, 2026, Chato Mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli...
  15. Kasomi

    Unaweza tumia Rimoti (Customer Interface Unit - CUU) ya jirani yako kuweka Umeme

    TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME. kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki. Leo ntakuonyesha namna... Unaweza kutumia Remote...
  16. Kasomi

    Faustine Mafwele apigwa marufuku kuingia Marekani

    Marekani imetangaza kumwekea vikwazo afisa mwandamizi wa polisi ya Tanzania Faustine Jackson Mafwele kwa tuhuma za ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa raia. Tangazo la uamuzi huo limetolewa na Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Marekani na kuchapishwa rasmi kwenye tovuti ya wizara...
  17. Kasomi

    TRA: Tuma Wazo Bunifu Kuboresha Huduma na Mifumo ya Kodi, Ushinde Hadi MILIONI 50

    Thanks! It is a pleasure to connect with you here and you are warmly welcome
  18. Kasomi

    TRA: Tuma Wazo Bunifu Kuboresha Huduma na Mifumo ya Kodi, Ushinde Hadi MILIONI 50

    TUMA WAZO BUNIFU KUBORESHA HUDUMA ΝΑ MIFUMO YA KODI, USHINDE HADI MILIONI 50 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatoa fursa kwa Watanzania wabunifu kushiriki katika msimu wa pili wa kuwasilisha mawazo bunifu yatakayosaidia kuboresha huduma za kodi, kurahisisha mifumo ya utoaji huduma za TRA...
  19. Kasomi

    Baada ya Miaka 22 Arsenal yatwaa Ubigwa wa England Premier League (EPL)

    ENGLAND: Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man...
  20. Kasomi

    Law of Obligations Contract Question

    In contract law, a valid contract is formed when there is an offer, acceptance, consideration, and an intention to create legal relations. Let's break down the scenario: 1- Offer: Philip advertised his house for £370,000. This is an invitation to treat, not an offer. The offer was made when...
Back
Top