Advertise here

Search results

  1. Kasomi

    Elimu Juu ya Kosa la Ubakaji na adhabu yake

    ELIMU JUU YA KOSA LA UBAKAJI Kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Jinai Tanzania r. E 2002. Kifungu cha 130 (2); kinaeleza kuwa, "Mtu mwanamume atafanya uhalifu wa ubakaji kama ataingiliana kingono na msichana au mwanamke katika mazingira yafuatayo; (a) Kama sio mke wake, au kama ni mkewe na...
  2. Kasomi

    On behalf of JamiiTalk, we wish all Muslims Eid Al-Fitr

  3. Kasomi

    Manusura wa ajali ya ndege waliokula maiti za wenzao ili waishi

    Manusura wa ajali ya ndege waliokula maiti za wenzao ili waishi Timu ya raga ya shule ya Old Christians Club kutoka Montevideo, Uruguay ilikodi ndege ya Jeshi la anga la Uruguay kusafiri Oktoba 13, 1972 hadi Santiago, Chile. Wakisafiri kwenda kucheza mechi dhidi ya Old Boys katika jiji hilo...
  4. Kasomi

    Mfahamu Gasper Kagonda a.k.a Gasper comic aliyevuma kwa msemo wake wa Nchi ya Malawi

    Kutoka ardhi ya jua kali la Sikonge mkoani Tabora, alikozaliwa kama mtoto wa kwanza katika familia ya watoto wanne, ndipo simulizi ya Gasper Joseph Kagandwa maarufu kama Gasper Comic ilipoanza kuandikwa kwa wino wa uvumilivu na ndoto. Alikulia katika mazingira ya hali duni kimaisha, katika...
  5. Kasomi

    Tutaweza kuongea na kuelewana na Aliens kupitia hesabu na Fizikia

    Kama itatokea siku tukakutana na viumbe wa angani (aliens), huenda tusiweze kuongea nao kwa sauti au maneno kama tunavyofanya binadamu, lakini hisabati na fizikia zitakuwa ndiyo lugha yetu ya kwanza. Hizi ndizo sababu kwanini mawasiliano yatawezekana: Sheria za Ulimwengu ni Moja. Hata kama...
  6. Kasomi

    Historia ya Cool James a.k.a Mtoto wa Dandu

    Cool James au James Dandu alizaliwa tarehe 5 Julai 1970 Mkoa Mwanza na alifariki 27 Agosti 2002 Jijini Dar es Salaam, anajulikana kwa jina lake la kisanii Cool James, alikuwa Mtanzania wa Kiswideshi rapa na mtayarishaji wa rekodi (record producer) Pia anajulikana kama Mtoto wa Dandu, CJ Massive...
  7. Kasomi

    Mwanamuziki Cool James aka Mtoto wa Dandu Akiwa na Wadau Joseph Kusaga na Kinjeketile Kingunge Ngombale Mwiru Jijini Dar Es Salaam Miaka 2000

    Mdau kutoka Mtandaoni aitwae Shanel Frank ni miongoni mwa Mashuhuda wa ajali ya Mtoto wa Dandu mwaka 2002 Alieleza katika ukurasa wa facebook kuwa "Mwamba alikata upepo kwenye ajali mbaya iliyomtokea katika eneo la Millenium Tower kwenye mwaka 2002 hv. Nakumbuka siku hiyo nilichelewa kurudi...
  8. Kasomi

    Mwanamuziki Cool James aka Mtoto wa Dandu Akiwa na Wadau Joseph Kusaga na Kinjeketile Kingunge Ngombale Mwiru Jijini Dar Es Salaam Miaka 2000

    MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA MWANAMUZIKI COOL JAMES AKA MTOTO WA DANDU, MWASISI WA TANZANIA MUSIC AWARDS Pichani ni wadau wakubwa wa muziki nchini, toka kushoto Mtoto wa Dandu, Joseph Kusaga na Kinjeketile Kingunge Ngombale Mwiru miaka ya 2000. Jina lake halisi lilikuwa James Dandu Maligisa...
  9. Kasomi

    Kijana mwenye umri wa miaka 15 aiba basi kumpeleka mpenzi wake shuleni

    Shirika la usafiri wa umma mjini Wiesbaden, magharibi mwa Ujerumani, limeitaka polisi kumshtaki kijana wa miaka 15 aliyedaiwa kuiba basi na kumpeleka mpenzi wake umbali wa kilomita 130 hadi shuleni mjini Karlsruhe. Mkuu wa kampuni ya mabasi ya NVG, Jörg Martini, aliliambia shirika la habari la...
  10. Kasomi

    Kumbukizi ya Miaka 5 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021)

    Kumbukizi ya Miaka 5 ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli (1959 - 2021) Miaka mitano imepita tangu ulipotutoka, lakini alama ulizoacha bado zinang'ara. Uongozi wako wa uadilifu, uzalendo, na bidii vitadumu mioyoni mwetu. Ulisimama imara kwa maendeleo ya taifa, ukahamasisha uchapakazi kwa kauli...
  11. Kasomi

    Saikolojia: Ukimpenda mtu ni ngumu kuacha kumpenda

    Saikolojia: Ukimpenda mtu ni ngumu kuacha kumpenda. Mapenzi huchochea sehemu ya ubongo inayohusika na uraibu. Homoni za Dopamine na Oxytocin hutengeneza "tuzo" ya kihisia, hivyo unapojaribu kuacha, ubongo unapata hali ya "withdrawal" (shauku kali ya kuzidi kumtaka huyo mtu) sawa na mtu...
  12. Kasomi

    Fatma Karume kutoka Familia ya Viongozi hadi kuwa Mwanaharakati

    Fatma Karume kutoka Familia ya Viongozi hadi kuwa Mwanaharakati Huyu ni mwanaharakati kutoka katika familia ya viongozi; babu yake Shekhe Abeid Karume alikuwa muasisi na Rais wa kwanza wa Zanzibar, baba yake Aman Abeid Karume alikuwa rais wa awamu ya saba wa visiwa hivyo huku baba yake mdogo...
  13. Kasomi

    Mfahamu Fatma Karume a.k.a Shangazi

    Fatma Karume ni mtoto wa raisi mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume na mjukuu wa raisi wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani Karume. Amezaliwa 15 Juni 1969 ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea wa Tanzania, mwanaharakati ambaye aliwahi kuwa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) katika...
  14. Kasomi

    Hii ndiyo orodha ya wabunge walioingoza Kishapu kuanzia 1965 - 2025

    JIMBO LA KISHAPU Leo tuangalie historia ya jimbo la Kishapu upande wa Wabunge, Bunge la kwanza la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 1965 mkoa wa Shinyanga uliwakilishwa na Majimbo matatu (3) amabayo ni Shinyanga Mashariki, (kwa sasa ndiyo kishapu) Shinyanga Kati na Shinyanga Magharibi. BUNGE LA...
  15. Kasomi

    Uchambuzi wimbo wa Dizasta Vina Ft. Dash - Mwanajua

    Wimbo huu wengi wamekuwa wakihusisha kuwa ulikuwa unaielezea Clods Media, wengine Wakisema Luge Mutahaba na wengine wakisema ni JPM (John Pombe Magufuli) kwamba hapo wimbo ulitoka kabla ya Magufuli kufariki ila ni kama alitabiri yatakayo tokea kwa sababu alieleza sifa zake zote. Lakini kwa...
  16. Kasomi

    List of countries of the world

    The always up-to-date list of all countries of the world in alphabetical order A Afghanistan Albania Algeria Andorra Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Azerbaijan B Bahamas Bahrain Bangladesh Barbados Belarus Belgium Belize Benin Bhutan Bolivia Bosnia and...
  17. Kasomi

    Shindano la Wasichana Katika TEHAMA (AI Hackathon) 2026

    Bonyeza hapa kujisajili
  18. Kasomi

    Jamiiforum ni bora kuliko jamiitalk.

    Tutajitahidi kujaza watu ili walete vibe endelea kuwa nasi na kualika Marafiki kuungana nasi
  19. Kasomi

    Rostam ainunua Nation Media Group (NMG)

    Mfanyabiashara Mtanzania, Rostam Azizi rasmi sasa anakuwa mbia mkuu wa kampuni ya habari ya Nation Media Group (NMG) baada ya kampuni ya Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) kutangaza kuuza hisa zake zote zilizokuwa zikimilikiwa katika kampuni hiyo. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo...
  20. Kasomi

    Forbes: Mo Dewji ndiye tajiri namba moja Afrika Mashariki

    Jarida la Forbes la Marekani toleo jipya la 2026 limetaja Mohammed Dewji, Mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania kama tajiri nambari moja kwa nchi za Afrika Mashariki akiwa na utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2.1. Kwa upande wa bara la Afrika, Dewji mwenye miaka 50 anashikilia nafasi ya...
Back
Top