Advertise here

Search results

  1. Kasomi

    Maajabu ya Lev Ivanovich Yashin The Black Spider

    MAAJABU YA THE BLACK SPIDER 1 Kabla ya baadhi ya mechi, Yashin alikiri kuvuta sigara na kunywa kidogo vodka ili kutuliza neva na kuamsha misuli. 2 Alibadilisha kabisa mtazamo wa golikipa duniani kwa kutoka nje ya goli kuzuia hatari mapema na kuwaongoza mabeki kwa sauti na ishara-tofauti na...
  2. Kasomi

    Lev Ivanovich Yashin ndiye Kipa pekee aliyewahi kushinda Ballon d'Or Duniani

    Katika ulimwengu wa soka tumezoea kuona washambuliaji na viungo wakitawala Tuzo za Ballon d'Or, lakini kulikuwa na kiumbe kimoja pekee kilichoweza kuvunja mwiko huo na huyo si mwingine bali ni Lev Ivanovich Yashin. [Intense and Suspenseful] "The Black Spider" Lev Yashin alikuwa ni mchezaji wa...
  3. Kasomi

    Mwanzilishi wa tovuti maarufu ya NetNaija, Emmanuel Analike ameendelea kushikiliwa gerezani

    Mwanzilishi wa tovuti maarufu ya NetNaija, Emmanuel Analike, ameendelea kushikiliwa gerezani baada ya ombi lake la dhamana kukataliwa na Mahakama Kuu ya Abuja. Uamuzi huo umetolewa na Jaji Mkuu wa mahakama hiyo, Suleiman Liman, katika kesi inayomkabili Analike ya kumiliki, kunakili na kusambaza...
  4. Kasomi

    Kumbukumbu Zetu ni jukwaa la Elimu kwa wanafunzi wa Utunzaji wa Kumbukumbu na Nyaraka (Records and Archives Management)

    Karibu kwenye www.kumbukumbuzetu.co.tz Jukwa hili limeanzishwa na MH. RADSON JOHN MSHABAHA Tarehe ya Uzinduzi: 28 Februari 2026 Kuhusu Tovuti www.kumbukumbuzetu.co.tz ni jukwaa la elimu jipya linalolenga kusaidia wanafunzi wanaosomea kozi ya Utunzaji wa Kumbukumbu na Nyaraka (Records and...
  5. Kasomi

    Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili

    Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili, ikiwa ni safari yake ya kwanza ya kichungaji katika bara hilo tangu achukue uongozi wa Kanisa Katoliki, kwa mujibu wa taarifa ya Vatican. Katika ziara hiyo, atatembelea nchi za Algeria, Cameroon, Angola na...
  6. Kasomi

    Gameloft Jina kubwa la michezo ya simu enzi za wahenga

    Kabla ya michezo ya kisasa ya Android na iOS kuwa ya kawaida, kampuni ya Gameloft ilikuwa moja ya majina makubwa zaidi kwenye soko la michezo ya simu miaka ya 2000 hadi mapema 2010. Enzi za simu za Java (keypad phones) na zile za mwanzo zenye touchscreen, Gameloft ilishangaza wengi kwa kutoa...
  7. Kasomi

    Mambo 10 yenye Utata na Matukio Yasiyosahaulika Duniani hadi leo

    Wachunguzi, waakiolojia, na wanasayansi wamekuwa wakihangaika kwa karne nyingi kutafuta majibu ya mafumbo makubwa ya dunia. Ingawa kumekuwa na mitazamo tofauti lakini hakuna mtazamo mmoja wa Moja kwa moja ulioleta Majibu katika haya. Hapa kuna orodha ya vitu 10 vinavyotafutwa zaidi ambavyo...
  8. Kasomi

    Mambo machache kuhusu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

    Mambo machache kuhusu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. 1. Jina lake halisi ni nani? Kuna watu wanadhani Mwadhama ni jina lake? Wengine wanadhani Polycarp ni cheo chake. Jina lake ni Polycarp Pengo. Kardinali ni cheo cha Kanisa, na Mwadhama ni kivumishi cha sifa, kama ambavyo Maaskofu huitwa...
  9. Kasomi

    TANZIA Polycarp Kardinali Pengo Amefariki Dunia

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo ljumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
  10. Kasomi

    Jumatano ya Majivu: JamiiTalk inakutakia Mfungo Mwema wa kwaresima

    JamiiTalk inakutakia Mfungo Mwema wa kwaresima Remember that you are dust, and to dust you shall return.
  11. Kasomi

    Mwanafunzi CBE Mbeya akutwa Amefariki kwenye Dimbwi

    HABARI Mtu mmoja anayedaiwa kuwa mwanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE) kampasi ya Mbeya, Tido Kadaga amekutwa amefariki dunia kwenye dimbwi la maji katika mtaa wa Maili tano, Kata ya Iganzo Jijini Mbeya. Tukio hilo limetokeo leo Februari 17,2026 baada ya baadhi ya mashuhuda na wasamiria wema...
  12. Kasomi

    Wimbo wa Afrika kusini umeundwa kwa lugha tano tofauti

    Je, unafahamu wimbo wa Taifa wa Afrika ya kusini (South Africa) Umeundwa kwa lugha tano tofauti yaani Xhosa na Zulu (ubeti wa kwanza), Sesotho (ubeti wa pili), Afrikaans (ubeti wa tatu), na Kingereza (ubeti wa mwisho) Chini kwenye picha ni wimbo wenyewe
  13. Kasomi

    Urusi yazungumzia Raia wake aliyezua gumzo Mtandaoni

    Serikali ya Urusi imekiri ripoti kwamba mwanamume mmoja raia wa Urusi anadaiwa kurekodi matukio ya mapenzi ya wanawake aliokuwa amewarubuni katika nchi nyingi za Afrika na kuweka video zao mtandaoni bila ridhaa yao. Ghana inasema inataka mshukiwa arejeshwe nchini humo ili haki ipatikane -...
  14. Kasomi

    Weka Windows 11 mpya kwenye PC ambayo Not Supported

    WEKA WINDOW 11 MPYA KWENYE PC AMBAYO NOT SUPPORTED !!! Je unapenda kuinstall window 11 kwenye kifaa chako lakini Changamoto haikubali mean unsupported kutokana na haijakizi vigezo vyote ? Najua ni moja wapo ya changamoto ya watu wengi sana kutokana na Pc tunazozimiliki ni za kizamani so mambo...
  15. Kasomi

    20 Free Hosting Platforms kwa Developers (2026)

    🚀 20 Free Hosting Platforms kwa Developers (2026) Unatafuta sehemu ya kuhost project yako bila kulipia? Iwe ni portfolio, startup MVP, API au full-stack app hizi free hosting platforms zitakusaidia. Hizi ni 20 best free hosting platforms kila developer anatakiwa kuzifahamu: 🌐 Static &...
  16. Kasomi

    New Methods to Install Windows 11 on Unsupported PC on 2026 Using Rufus

    Microsoft’s Windows 11 announcement caused plenty of confusion and criticism due to its strict hardware requirements. Windows 11 officially requires 8th-gen or newer Intel processors, 4GB of RAM, 64GB of storage device, TPM 2.0 UEFI and Secure Boot feature enabled. While TPM 2.0 is not a major...
  17. Kasomi

    How to Install Windows 11 on Unsupported PCs (New Easiest Method 2026)

    Unlock the Full Potential of Windows 11 with Our Exclusive Playlist! Discover diverse methods to install Windows 11 on both unsupported hardware and supported PCs. Dive into expert tips on optimizing Windows 11 performance for older computers, along with a trove of tricks to enhance your...
  18. Kasomi

    Februari 13 ya kila mwaka ni siku ya kondomu duniani

    Februari 13 ya kila mwaka ni siku ya kondomu duniani, huadhimishwa siku moja kabla ya siku ya wapendanao maarufu kama Valentines Day. Uamuzi wa kuiweka karibu na Februari 14, siku ya wapendanao si wa bahati mbaya, bali ni ujumbe kwamba mapenzi na uwajibikaji wa afya vinapaswa kwenda pamoja...
  19. Kasomi

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Amchagua Binti yake kumrithi kiti cha Urais

    KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI AMCHAGUA BINTI YAKE KUMRITHI KITI CHA URAIS Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amemchagua Binti yake Kim Ju Ae kurithi nafasi yake ya Urais. Uthibitisho huo unakuja baada Binti huyo kuonekana mara kwa mara kwenye hafla za Serikali, mara nyingi akiandamana na...
  20. Kasomi

    Orodha ya Nchi (20) kubwa kieneo Duniani

    Orodha ya Nchi (20) kubwa kieneo Duniani. 1. Russia 🇷🇺 (17 125 191) 2. Canada 🇨🇦. (9 985 000 ) 3. Marekani 🇺🇸 (9 629 091) 4. China 🇨🇳 (9 596 961) 5. Brasil 🇧🇷 (8 515 767) 6. Australia 🇭🇲 (7 699 060) 7. India🇮🇳 (3 287 263) 8. Argentina 🇦🇷 (2 780 400) 9. Kazakhstan 🇰🇿 (2 724 910) 10. Algeria 🇩🇿...
Back
Top