Advertise here

je

  1. Kasomi

    Je, unajua kuwa siafu mmoja anaweza kuuzwa hadi dola 220 (zaidi ya shilingi za Kitanzania 500,000) kwenye soko haramu

    Kulingana na taarifa za hivi karibuni mnamo Aprili 2026, siafu aina ya Malkia (hasa Giant African Harvester Ant) wanauzwa kwa bei ya juu sana katika soko haramu, huku mmoja akiweza kugharimu hadi dola za Kimarekani 200 hadi 220 (sawa na zaidi ya shilingi za Kitanzania 500,000). Hapa kuna mambo...
  2. J

    Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka?

    Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka? Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao. Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa na tafsiri ya jina lako. Hii ni kwa sababu usipomwelewa Mungu jinsi anavyotenda kazi...
  3. J

    Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa?

    Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa? Kulingana na Mathayo 12:29, je, Yesu alikuwa amemfunga shetani wakati wa kuzaliwa kwake? Ili kupata jibu, ni vizuri turejee Mathayo 12:29: “Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga...
  4. Kasomi

    Je, unafahamu kuwa Yoweri Kaguta Museveni ametawala Uganda kwa muda wa miaka 40 Mfululizo

    Yoweri Kaguta Museveni ametawala nchini Uganda kwa muda wa miaka 40 (hadi kufikia mwezi huu wa Januari 2026). Aliingia madarakani tarehe 29 Januari 1986 baada ya kuongoza vita vya msituni dhidi ya serikali ya kijeshi ya Tito Okello. Tangu wakati huo, amekuwa madarakani bila kukatiza, jambo...
  5. J

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali?

    Je ni dhambi kufanya kazi ya udalali? Udalali ni nini Dalali ni mtu anayeuza kitu kwa niaba ya mwingine na kisha kuchukua asilimia fulani ya faida ya kile kilichouzwa. Dalali pia anaweza kuwa mtu mwenye kutafuta soko la bidhaa ya mtu mwingine na kisha kuchukua asilimia ya faida inayopatikana...
  6. Kasomi

    Je, Unafahamu Kuwa Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti

    ULIWAHI KULIJUA HILI? Tanzania Tuliwahi Kutumia Noti Za Shilingi 100 Za Aina 10 Tofauti Kutoka Mwaka 1966 Mpaka Kufikia Mwaka 1994 Ambapo Noti Ya Shilingi 100 Ilibadilishwa Na Kuwa Sarafu!!
  7. Kasomi

    Je, Wajua noti kubwa ilikuwa Tsh 100 lakini kwa sasa Tsh 10,000 ndio noti kubwa

    Noti kubwa ilikuwa Tsh 100 wakati Mwinyi anaingia madarakani. Miaka 9 baadaye tayari noti kubwa ikawa Tsh 10,000 na Tsh 100 ikawa sarafu ambayo inatumika mpaka sasa kama sarafu Hii ni noti ya Tsh. 100 ya zamani Hii ni noti ya 10,000 ya zamani Na hii ndio Tsh.10,000 ya sasa
  8. Kasomi

    Je, wajue Dollar 1 ni Sawa na 994,055 kwa Fedha ya Irani

    Kwa mjibu wa mabadilishano ya fedha za kigeni dollar 1 ya Marekani ni Sawa na zaidi ya Laki tisa tisini na nne (994,055) Hivyo 1,000 ya Tanzania ni Sawa na 398,020.02 ya Iran
  9. Kasomi

    Je, wajua Telegram haina ofisi licha ya kuwa Mtandao Mkubwa

    Makao makuu ya Telegram yapo Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Hata hivyo, Telegram haina ofisi za wazi au rasmi kwa umma kama kampuni nyingine nyingi, kwani waanzilishi wake Pavel Durov na timu yake wanaendesha kampuni kwa mtindo usioegemea nchi moja moja, wakiwa na timu inayofanya kazi...
  10. J

    Mwanadamu na tabia ya asili

    Mwanadamu na tabia ya asili Tabia ya asili ni nini Tabia inaweza kuelezewa kama "kitu kinachofanyika mara nyingi, na hivyo, kwa kawaida hufanyika kwa urahisi, kitendo ambacho kinapatikana na kimetokea moja kwa moja". Sisi sote tuna tabia fulani, iwe nzuri au mbaya. Hata watoto wachanga wanaweza...
  11. J

    Je ni sahihi kula damu au nyama mbichi?

    Je ni sahihi kula damu au nyama mbichi? Kwa asili, ulaji wa nyama mbichi ni hatari kwa afya ya mwili, kwani nyama mbichi ina minyoo na wadudu wengi wasiionekana kwa macho, ambao ni hatari kwa afya na tumepewa maagizo ya kuitunza hii miili, lakini nyama iliyopikwa inakuwa salama kwani inaua...
  12. J

    Kuna kitabu cha Agano Jipya, je kuna ulazima wa kutumia Agano la Kale?

    Kuna kitabu cha Agano Jipya, je kuna ulazima wa kutumia Agano la Kale? Japokuwa Biblia ni kitabu kimoja, kuna tofauti kati ya Agano la Kale na Agano Jipya. Aidha, kuna baadhi ya waumini wanasema kuwa, kwa vile kuna Agano Jipya, hakuna haja ya kutumia yaliyomo kwenye Agano la Kale. Ukweli ni...
  13. O

    Je, kibweteere ashawahi kuwa padre?

    Nimefuatilia mwandiko mengi kuhusu Mchungaji Kibweteere na wafuasi wake mengine yakitaja alikuwa padre mengine yakikanusha. Je kibweteere ashawahi kuwa padre?
  14. Kasomi

    Je, wajua Raila Odinga aliwahi kuwa Mtanzania?

    Je, wajua Raila Odinga aliwahi kuwa 'Mtanzania'? Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya hayati Raila Odinga amewahi kuwa na uraia wa Tanzania kwa miaka mitatu. Odinga ambaye alifariki nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu alipewa uraia na hati ya kusafiria (pasipoti) ya Tanganyika, sasa Tanzania...
  15. Kasomi

    Je, ushawahi kutana na swali lisemalo "I Played With All These Players Who Am I?"

    I Played With All These Players Who Am I? Kwa tafsiri ni kuwa Nilicheza na Wachezaji Hawa Wote Ambao je, Mimi ni nani? Naam, basi moja kwa Moja mchezaji huyo si mwingine ni Angel Di Maria. Ndio mchezaji aliyewahi kubahatika kucheza na Mastaa wengi Timu moja kwa ngazi ya club na Timu ya Taifa...
  16. M

    Je, JWTZ imejibu Hoja Ya Captain Tesha?

    JE, JWTZ IMEJIBU HOJA YA CAPT. TESHA? Anaandika Emmanus Bandekile Mwamakula Baada ya Capt Tesha kutoa hotuba kwa njia ya video, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa kauli kwa njia ya waraka. Hata hivyo, waraka huo unafichua ya kuwa baadhi ya hoja hizo hutolewa na: 1. Watu...
  17. Kasomi

    Je, Video inayosambaa ya Captain Tesha Imetengenezwa kwa AI yaani Akili Mnemba?

    Kamekuwa na video Ikimuonyesha Mwanajeshi wa Jeshi la anga Captain Tesha akiongea kupitia Mitandao ya Kijamii na kuibua Hisia kuwa huenda Video hiyo (Picha Mjongeo) Imetengenezwa kwa Artificial Intelligence. Sio kweli kama video hiyo Imetengenezwa kwa Akili Mnemba, hivyo video hiyo ni video...
  18. F

    Wakati wanajeshi wanalinda mipaka yetu,wanasiasa walipaswa walinde rasilimali zetu!je ndivyo ilivyo!?

    Tuhuma za wizi na ubadhirifu nchini zinaendelea kusikika Kila siku,je ni kusema vijana wetu jwtz wanalinda mipaka Ili wezi wasibugudhiwe!!?wao wanapolinda mipaka Kwa jashonna damu wanaridhishwa na usimamizi was rasilimali zetu nchini!!? Wanasiasa wanatimiza wajibu wao wa kulinda rasilimali...
  19. Kasomi

    Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

    NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔ Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !; Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka...
Back
Top