Advertise here

rais

  1. Kasomi

    Je, unafahamu Rais wa Uganda Yoweri Museveni alifundisha Chuo cha Ushirika Moshi (MoCU) na pia alisoma UDSM

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni alifundisha Chuo cha Ushirika Moshi na pia ashawahi kusoma UDSM Elimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Museveni alisoma Shahada ya Uchumi na Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania (1967–1970). Hapo ndipo alipoanza harakati za...
  2. Kasomi

    Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amekamatwa na wanajeshi wa Delta Force, kikosi cha operesheni maalum cha Jeshi la Marekani

    Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro amekamatwa alfajiri ya leo Jumamosi na wanajeshi wa Delta Force, kikosi cha operesheni maalum cha Jeshi la Marekani. Tukio hili limetokea katika muktadha wa operesheni kubwa inayohusisha vikosi vya Marekani, ambavyo vimejizatiti katika kushughulikia mishemishe...
  3. Kasomi

    Hizi ndo Nchi ambazo Urais/ Rais hana nguvu kubwa kwenye Madaraka

    No.1 China Tuanze na huyu superpower Wenda baadhi ya watu wanaweza wakawa wanafahamu na wengi wasiwe wanafahamu. Ndivyo ilivyo Rais au cheo cha Urais China hakina nguvu kubwa sana kulinganisha na vyeo vingine kama Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti au cheo cha mwenyekiti wa kamati kuu ya...
  4. Kasomi

    Wawili Wafungwa kwa kujaribu kumloga Rais

    Vyombo mbalimbali vya Habari Nchini Zambia vimeripoti kwamba Mahakama Kuu ya Nchi hiyo imewahukumu kifungo cha miaka miwili jela Wanaume wawili ( Leonard Phiri Raia wa Zambia na Jasten Mabulesse Candunde Raia wa Msumbiji) kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kosa la kujaribu kumloga Rais wa Zambia...
  5. Kasomi

    Rais Samia Azungumza na Mwabukusi Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, leo August 27, 2025. Itakumbukwa jana Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kiliomba kukutana na Rais wa...
  6. Kasomi

    Polepole akosoa utaratibu wa uteuzi wa mgombea wa Urais

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu aachie wadhifa huo wiki iliyopita, akikosowa vikali jinsi chama tawala cha mapinduzi, CCM, kilivyokiuka utaratibu kwa kumpitisha mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, huku...
  7. Kasomi

    Mambo 5 kwenye hotuba ya Rais Samia

    UPDATES Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge Ijumaa ya Juni 27 ambapo pamoja na hotuba hiyo alitangaza tarehe ya kuvunjwa Bunge rasmi kuwa ni Agosti 3, 2025, kwenye hotuba yake Rais Samia aliweka bayana mambo muhimu ambayo ameyatekeleza kwenye...
  8. Kasomi

    Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU Dar es Salaam 23 Juni, 2025 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na mabadiliko ya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa...
  9. Kasomi

    Rais Samia amteua Sirro kuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uteuzi alioufanya leo June 23 2025, amemteua Mkuu wa zamani wa Jeshi la Polisi Tanzania Balozi Simon Nyankoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. Balozi Simon Sirro ni miongoni mwa Wakuu wapya wa Mikoa watano ambao wameteuliwa leo June 23 2025...
  10. Kasomi

    Siku Jenerali Sarakikya Alipotunukiwa Cheo na Rais Benjamin Mkapa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Mwaka 2004

    MAKINIKIA: SIKU JENERALI SARAKIKYA ALIPOTUNUKIWA CHEO NA RAIS MKAPA Mwaka 2004, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wakati wa sherehe za miaka 40 ya kuanzishwa kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Rais na Amiri Jeshi Mkuu Benjamin William Mkapa alimtunuku cheo cha Jenerali Meja...
  11. Kasomi

    Historia ya mwai kibaki: rais aliyebadili uchumi wa kenya kwa kiwango kikubwa

    Mwai Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Kenya ambaye aliiletea nchi hiyo mabadiliko makubwa ya maendeleo na udhabiti wa kitaifa. Aliingia siasa mapema wakati Kenya ilipojipatia uhuru wake na alifanya kazi katika nyadhfa mbalimbali serikalini . Baada ya kuhudumu kama makamu wa rais alijipatia...
  12. Kasomi

    Rais samia akutana na baba yake mzazi rihanna katika uzinduzi wa filamu ya royal tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo April 22, 2022. Filamu hiyo...
  13. Kasomi

    Rais Samia atangaza Agosti 23, 2022 kuwa tarehe rasmi ya sensa nchini.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Zanzibar, leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Rais Samia ameanza kuzungumza muda huu... Rais Samia: "Taarifa nilizonazo ni kuwa oparesheni...
  14. Kasomi

    Ulinzi wa Rais wa Korea kaskazini Kim Jong "Kiduku"

    ULINZI WA KIM JONG "KIDUKU". Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Huyu ni kiongozi ambaye vyombo...
  15. Kasomi

    Historia ya Dkt John Pombe Magufuli

    WASIFU WA JOHN POMBE MAGUFULI Taaluma yake; Dkt, John Joseph Pombe Magufuli ni mwalimu na mtalaamu wa kemia akiwa na Shahada ya Uzamivu (PhD). Kuzaliwa Alizaliwa Oktoba 29 mwaka 1959 huko Katoma tarafa ya Bugando wilayani Geita jimbo la Geita vijijini. Kipindi hicho Geita ikiwa ni moja ya...
Back
Top