Advertise here

Rais samia akutana na baba yake mzazi rihanna katika uzinduzi wa filamu ya royal tour

Kasomi

JT Founder
FB_IMG_16506149729677328.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo April 22, 2022.
FB_IMG_16506149645502431.jpg

Filamu hiyo inafanyiwa uzinduzi Los Angeles, Marekani ikiwa ni mara ya pili kufanyiwa kuzinduliwa Nchini humo baada ya awali kuzinduliwa Aprili 28, 2022 Jijini New York

Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Aprili 21 kwa Marekani lakini kwa Tanzania tayari ni tarehe 22 Aprili 2022.
 

Similar threads

Back
Top