Advertise here

tanzania

  1. Kasomi

    Vyuo Vikuu 10 Bora Zaidi Tanzania 2025

    Ripoti ya UNIRANKS ya mwaka 2025, imeangazia vyuo vikuu bora kutoka nchi mbalimbali duniani kwa kuzingatia mambo kadhaa muhimu yanayoonesha ubora wa chuo. Miongoni mwa vigezo vilivyotumika ni pamoja na ubora wa elimu inayotolewa, mafanikio katika tafiti za kitaaluma, namna chuo...
  2. G

    NEW JOBS AT AIRTEL TANZANIA

    โญ•๏ธ *NOW*: *NAFASI ZA KAZI MBALIMBALI KAMPUNI YA AIRTEL* Bofya Hapa ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟhttps://www.jobsreport.online/airtel-tanzania-complete-guide-to-services-and-opportunities/ ๐Ÿ’ฅJunge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada ๐Ÿ‘‰https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k
  3. Kasomi

    Mikoa 10 Tajiri zaidi Tanzania

    ๐Ÿ“Š MIKOA 10 TAJIRI ZAIDI TANZANIA Hii ni mikoa 10 tajiri zaidi Tanzania kwa GDP (Pato la mkoa) kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) za 2023. 1. Dar es Salaam โ€“ $14.7 b 2. Mwanza โ€“ $6.19 b 3. Morogoro โ€“ ~$4.12 b 4. Arusha โ€“ ~$4.05 b 5. Tanga โ€“ ~$4.04 b 6. Mbeya โ€“ ~$4.03...
  4. Kasomi

    Vibe Coding Hackathon win up to Tanzania shillings 813,000

    Welcome! To join the event, please register below. Register About Event ๐ŸŽง Vibe Coding Hackathon 2.0 โ€“ From Idea to Income Build Monetizable AI Tools in Just One Week! ๐Ÿ“… June 30 โ€“ July 4, 2025 | ๐ŸŒ Virtual Hackathon Join the #1MillionDevs movement for a high-energy virtual hackathon where...
  5. Kasomi

    JPM: Kutoka maumivu, uhai, hadi uchumi Tanzania

    JPM: Kutoka maumivu, uhai, hadi uchumi Tanzania Aliposimama katika mwalo wa Kigongo akiwa Mkemia katika Chama cha Ushirika cha Nyanza, John Pombe Magufuli alikumbwa na hofu isiyosahaulika. "Nikasogea pale kwenye mwalo, waliniambia ingia na pikipiki yako ingiza... moyo ukakataa," alisema akitoka...
  6. F

    Jinsi ya Kujisajili 888starz Tanzania | 888starz Promo Code

    Jinsi ya kujisajiliโ€“ Pata Bonasi ya TZS 300,000 kwa Promo Code A84 Unatafuta tovuti ya kuaminika ya kubashiri na kucheza kasino mtandaoni Tanzania? 888starz ni chaguo bora kwa wapenzi wa michezo ya kubahatisha. Ukiwa Tanzania, unaweza kufurahia urahisi wa malipo ya simu kupitia M-Pesa, Tigo...
  7. Kasomi

    Kenya na Tanzania zaongoza katika usambazaji wa dawa za kulevya: Ripoti

    Ripoti ya kila mwaka tume ya kupambana na dawa za kulevya katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika, inataja Kenya na Tanzania kuongoza katika usambazaji wa dawa hiyo kwenye ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki. Kenya, Tanzania, Musumbiji na Afrika Kusini, yameorodheshwa kuwa kitovu cha...
  8. F

    Helabet Tanzania jinsi ya kujisajili kwa promo code A84

    Helabet Tanzania nikampuni ya kubashiri mtandaoni inayoendesha shughuli zake tangu 2020. Helabet imejizolea umaarufu mkubwa kutokana na huduma zake nzuri katika nchi mbalimbali. Katika andiko hili tutajadili mambo mbalimbali kuhusu helabet. Jinsi ya kujisajili Helabet Kuandikisha account mpya...
  9. F

    Orodha ya magroup ya Kubeti tanzania

    Hii hapa orodha ya groups mbalimbali za betting tanzaniania. Jinsi ya kujiunga na magroup haya ya kubeti 1. Bonyeza link husika 2. Jiunge kwenye kundi. Jinsi ya kuweza kuishi kwenye groups nyingi kwa muda mrefu 1. Epuka matusi 2. Epuka kupost link 3. Epuka ugomvi Orodha ya links za magroups...
  10. F

    Pmbet Promo Code Tanzania : New User A84

    Hereโ€™s the latest on PMbet promo codes in Tanzania: ๐ŸŽฏ Active Promo Code for New Users Use code A84 when registering at PMbet Tanzania to unlock special offers (jamiitalk.com). This appears to be the most recent and valid promotion code shared by a local community source. Other Bonus...
  11. F

    Betway Tanzania Promo Code ninayo promo code (Ihave a promo code)TZA84

    Kampuni ya kubeti ya betway tanzania nimiongoni mwa kampuni maarufu na bora zaidi tanzania . Katika makala haya tutajadili jinsi ya kujisajili Betway Tanzania, jinsi ya kutumia promo code ya betway TZA84, ofa za betway , n.k Promo code ya betway Tanzania (ninayo promo code) hii ni code maalumu...
  12. F

    Pmbet promo code Tanzania

    Promo code ya PMbet Tanzania ni A84. Unapotumia msimbo huu wakati wa kujisajili kwenye tovuti ya PMbet (https://pmbet.co.tz), unaweza kufungua akaunti yako na kufurahia ofa mbalimbali za bonasi. (MASHELE MEDIA) ๐ŸŽ Ofa za Bonasi kwa Watumiaji wa Promo Code A84 Kwa kutumia promo code A84, wateja...
  13. Kasomi

    Je, Tanzania iko tayari kwa umeme wa nyuklia?

    "Ndani ya nchi yetu Mungu ametubariki uraniamu (urania). Ni vyema kusimamia ule mradi wetu kule Namtumbo, wale wawekezaji waanze kazi sasa tufaidike na rasilimali ile." Ni kauli nzito ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa mwishoni mwa wiki wakati wa kumuapisha Mkurugenzi mtendaji...
  14. Kasomi

    Wimbo wa msanii na Mtangazaji Oscar jr ukisikilizwa na Baraza la sanaa Tanzania (BASATA)

    Msanii na mtangazaji maarufu, Oscar Oscar Jr, kwa kushirikiana na mkongwe wa muziki wa hip-hop nchini Tanzania, Joh Makini, hapo Jana waliachia wimbo wao mpya uitwao "Mniombee". Wimbo huu umefikishwa kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ukaguzi na kupata kibali...
  15. Kasomi

    Hii hapa ni Top 10 ya wasanii wa Tanzania ambao ni ndugu wa damu, wengine familia na ukoo mmoja

    Hii hapa ni Top 10 ya wasanii wa Tanzania ambao ni ndugu wa damu, wengine familia na ukoo mmoja japo namba 2 itakushangaza. 1. TID na Kalapina (Mama Mkubwa na mdogo) 2. AY na Nay wa Mitego (Mama zao familia moja) 3. Rich Mavoko na Tin White (Baba Mmoja mama mmoja) 4. Lady Jaydee na Wakazi...
  16. Kasomi

    Mtandao wa X 'waminywa' Tanzania

    Mtandao wa X zamani Twitter umeminywa nchini Tanzania baada ya baadhi ya akaunti za taasisi za serikali na mashirika binafsi kudukuliwa na watu wasiojulikana. Taasisi ya NetBlocks ambayo inafuatilia uhuru wa upatikanaji wa huduma za intaneti duniani iliripoti jana Jumanne usiku kuwa mtandao wa...
  17. Kasomi

    Msichana wa Miaka 19 achinjwa nchini Tanzania baada ya kukutan kuolewa na muuza nyama ya nguruwe

    Msichana aliyetambulika kwa jina la Shukran Ajiliwa amekutwa amekufa kwa kukabwa shingo na kuchinjwa kwa kitu chenye ncha kali kisha kutobolewa utumbo. Kwa mujibu waJJeshi la polisi mkoani Ruvuma ulipotokea mkasa huo limesema linamshikilia Erick Turuka ambaye ni muuza nyama ya nguruwe ambaye...
  18. Kasomi

    Tanzania kurusha satellite baada ya Kusaini mkataba na OTHE

    ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—น๐—น๐—ถ๐˜๐—ฒ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ ๐Ÿ’ญ Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuweza kutia saini na shirika la anga za juu OTHE, kwa kujipanga kuweza kurusha satellite yake ya kwanza angani ili kusaidia katika mambo mbalimbali. ๐Ÿ’ญ Satellite hiyo itaweza kusaidia Tanzania...
  19. Kasomi

    Dr Martin Chegere Tanzania One (TO) wa Wakati wote na aliyepata PhD akiwa na umri mdogo

    Anaitwa Dr. Martin Julius Chegere, ni mmoja kati ya watanzania wachache waliopata nafasi ya kupata Ph.D wakiwa na umri mdogo sana. Chegere katunukiwa Ph.D ya uchumi tarehe 23 ya mei 2017 katika chuo kikuu cha Gothenburg katika shule ya biashara huko nchini Sweden. Pia ni TO (Tanzania One) wa...
  20. Kasomi

    Kiongozi wa chama cha People's Liberation โ€“ PLP nchini Kenya Martha Karua anasema amekataliwa kuingia Tanzania

    Kiongozi wa chama cha Peopleโ€™s Liberation โ€“ PLP nchini Kenya Martha Karua anasema amekataliwa kuingia Tanzania. Karua amesema kwenye mtandao wa X kuwa yeye, pamoja na wanaharakati wawili wa haki za binaadamu Gloria Kimani na Lynn Ngugi walizuiliwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
Back
Top