M MOHAMED SAID SALUM Member Apr 13, 2022 #1 Nyumba ya Mwalimu Nyerere Maduka Sita Magomeni huyo anaeingia ndani ni Mwalimu Nyerere
M MOHAMED SAID SALUM Member Apr 13, 2022 #2 na a Kulia Ali Msham na aliyekaa kwenye meza ni Julius Nyerere siku alipomkabidhi samani kwa ajili ya oifisi ya Rais wa TANU New Street kwenye tawi la TANU alilofungua nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu
na a Kulia Ali Msham na aliyekaa kwenye meza ni Julius Nyerere siku alipomkabidhi samani kwa ajili ya oifisi ya Rais wa TANU New Street kwenye tawi la TANU alilofungua nyumbani kwake Mtaa wa Jaribu