Kasomi
JT Founder
Papa Leo XIV alitembelea Tanzania mwaka 2004 kama mkuu wa shirika la Augustinian duniani kote, akisafiri kutoka Dar kupitia Njombe hadi Songea.
Aliyekuwa kadinali Robert Prevost ambaye hapo Jana Mei 8, 2025 amechaguliwa kuwa Papa wa 267 na kuchagua jina la Papa Leo XIV.
Alishawahi kufika Tanzania Mwaka 2004
Aliyekuwa kadinali Robert Prevost ambaye hapo Jana Mei 8, 2025 amechaguliwa kuwa Papa wa 267 na kuchagua jina la Papa Leo XIV.
Alishawahi kufika Tanzania Mwaka 2004