K Kimoyo New member May 10, 2022 #1 Swali fikirishi Je, Mtu wa kwanza kununua simu alinunua ili kuongea na Nani?
Kasomi JT Founder Jun 11, 2022 #3 John ephraim said: Ili kufanya cominication Click to expand... Hapo swala linakuja kufanya communication na nani na ikumbukwe yeye ndio wa kwanza kununua simu
John ephraim said: Ili kufanya cominication Click to expand... Hapo swala linakuja kufanya communication na nani na ikumbukwe yeye ndio wa kwanza kununua simu
M Mcharo New member Jun 15, 2022 #4 Zilikua ni mbinu tu za uwizi ndio maana akaona agundue namna ya kufanya mawasiliano na atakayekamilisha mchongo
Zilikua ni mbinu tu za uwizi ndio maana akaona agundue namna ya kufanya mawasiliano na atakayekamilisha mchongo